Series (Special thread)

Story ya kawaida then wanarefusha tu bila sababu zozote, then waigizaji wengi ni kama wanajifunza hawapo kwenye uhalisia.

Ndugu yangu Mimi nilisema hivyo humu ndani kuna mtu alinishambulia kweli akasema nna chuki binafsi yaani narudia tena kusema The Oval ni Scandal iliyopooza.. kama unaijua scandal nadhan umensoma kama haujaichek kaiangalie mzee utaona resemblance...sema ile ni way better
 
Familia moja inajikuta katika wakati mgumu wa kuwindwa na serikali , hivyo wanaamua kutoroka US kuelekea LATIN AMERICA kupitia njia ya hatari ya mexico...

Huwezi juta kuiangalia...
 
Familia moja inajikuta katika wakati mgumu wa kuwindwa na serikali , hivyo wanaamua kutoroka US kuelekea LATIN AMERICA kupitia njia ya hatari ya mexico...

Huwezi juta kuiangalia...View attachment 1944004
Mh hii nayo chenga tupu.. yan mpka season 1 inaisha haijulikani jamaa kinachomkimbiza ni kitu gani?
 
Yaonekana nzr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…