Homeland na The Americans hazipo?series nazopendaga kuangalia zinahusu magenge ya uhalifu, umafia, madawa, n.k
hizi ni series ambazo nazikubali mno, yaani hazikuniboa, zilinifanya niwe hooked vibaya mno. (chini kuna list ya zilizoniboa [emoji23] )
Za ziada, ni kali ila siwezi kuzichanganya na hizo mashine za juu
- BREAKING BAD
- NARCOS (toleo la pablo na toleo la mexico)
- SNOWFALL
- GODFATHER OF HARLEM
- LA CASA DE PAPEL (Mobey heist)
- PEAKY BLINDERS
- GOMMORAH
- THE OZARKS
- MC MAFIA
- POWER (tolea la mwanzo, toleo la book ii na book iii)
- EL CHAPO
- TOP BOY
- BAD BLOOD
- ANIMAL KINGDOM
- YELLOW STONE
- BANSHEE
- Gangs of london
- Sons of anarchy
Hizi nlizicheki ila hazikunipa mzuka
-Queen of the south (kwa maoni yangu hii series biashara ya madawa wameifanya ionekane lelemama ambayo hata mdada mweny roho nyepesi anakuwa don)
- Just call saul (iko poa sema iliniboa tu, ni kama series ya ziada ya maisha ya mwanasheia wa breaking bad)
- (ni nzuri lakini kwa visu nliyoweka hapo juu haiwezi kulingana nazo)
- The wire (ni series nzuri ila imekaa kizamani, )
-The sopranos (story ndefu sana, yani hadi jambo litokee wana complicate sana, hata sikumaliza)
- Lily hammer (hii ni naona kuna vi comedy flani, haipo serious kwenye uhalifu)
Series hizi sio za umafia kama nlizozitaja ila zina nafasi ya kipekee mno, ni kile kipindi nimeanza kucheki series, hizi series zilinibamba mno.
1.prison break - unasubiri nini kama bado hujaicheki??
2. 24 - jack baur siji kumsahau
3. lost - bonge moja la adventure.
kuhusu wakorea nmecheki series zao kibao tu nilizikubali iris, city hunter na jumong ii, wakorea nao wanajitahidi ila huwezi kuweka series zao kwenye midude niliyoweka huko juu [emoji23] [emoji23] labda kama unataka series za kuwapa dada zako huwa naona wanazikubali.
haziwezi kukidhi viwango vya list hio aisee 😂 😂 ninazoHomeland na The Americans hazipo?
[emoji1][emoji1]haziwezi kukidhi viwango vya list hio aisee [emoji23] [emoji23]
Nasubiri English versionWale wazee wa money heist link iyo hapo nendeni mkashushe ila Audio ni Spanish
Kama kwenye list yako hakuna Homeland, game of throne, basi ni list batili. Bado pia kuna nyingizo kali san hujaweka.series nazopendaga kuangalia zinahusu magenge ya uhalifu, umafia, madawa, n.k
hizi ni series ambazo nazikubali mno, yaani hazikuniboa, zilinifanya niwe hooked vibaya mno. (chini kuna list ya zilizoniboa [emoji23] )
Za ziada, ni kali ila siwezi kuzichanganya na hizo mashine za juu
- BREAKING BAD
- NARCOS (toleo la pablo na toleo la mexico)
- SNOWFALL
- GODFATHER OF HARLEM
- LA CASA DE PAPEL (Mobey heist)
- PEAKY BLINDERS
- GOMMORAH
- THE OZARKS
- MC MAFIA
- POWER (tolea la mwanzo, toleo la book ii na book iii)
- EL CHAPO
- TOP BOY
- BAD BLOOD
- ZERO ZERO ZERO
- ANIMAL KINGDOM
- BANSHEE
- Gangs of london
- Sons of anarchy
- Yellow stone
Hizi nlizicheki ila hazikunipa mzuka
-Queen of the south (kwa maoni yangu hii series biashara ya madawa wameifanya ionekane lelemama ambayo hata mdada mweny roho nyepesi anakuwa don)
- Just call saul (iko poa sema iliniboa tu, ni kama series ya ziada ya maisha ya mwanasheia wa breaking bad)
- (ni nzuri lakini kwa visu nliyoweka hapo juu haiwezi kulingana nazo)
- The wire (ni series nzuri ila imekaa kizamani, )
-The sopranos (story ndefu sana, yani hadi jambo litokee wana complicate sana, hata sikumaliza)
- Lily hammer (hii ni naona kuna vi comedy flani, haipo serious kwenye uhalifu)
Series hizi sio za umafia kama nlizozitaja ila zina nafasi ya kipekee mno, ni kile kipindi nimeanza kucheki series, hizi series zilinibamba mno.
1.prison break - unasubiri nini kama bado hujaicheki??
2. 24 - jack baur siji kumsahau
3. lost - bonge moja la adventure.
kuhusu wakorea nmecheki series zao kibao tu nilizikubali iris, city hunter na jumong ii, wakorea nao wanajitahidi ila huwezi kuweka series zao kwenye midude niliyoweka huko juu [emoji23] [emoji23] labda kama unataka series za kuwapa dada zako huwa naona wanazikubali.
Na mm nimeata notification mida hii 🙌🏽money heist season 05 ishatoka
Hebu fanya namna maisha yangu yawe mepesi basiNasubiri English version
Mkuu katika hizo series ulizozitaja kuna ambazo hazipatikani kabisa Netflix. Nazipataje??series nazopendaga kuangalia zinahusu magenge ya uhalifu, umafia, madawa, n.k
hizi ni series ambazo nazikubali mno, yaani hazikuniboa, zilinifanya niwe hooked vibaya mno. (chini kuna list ya zilizoniboa 😂 )
Za ziada, ni kali ila siwezi kuzichanganya na hizo mashine za juu
- BREAKING BAD
- NARCOS (toleo la pablo na toleo la mexico)
- SNOWFALL
- GODFATHER OF HARLEM
- LA CASA DE PAPEL (Mobey heist)
- PEAKY BLINDERS
- GOMMORAH
- THE OZARKS
- MC MAFIA
- POWER (tolea la mwanzo, toleo la book ii na book iii)
- EL CHAPO
- TOP BOY
- BAD BLOOD
- ZERO ZERO ZERO
- ANIMAL KINGDOM
- BANSHEE
- Gangs of london
- Sons of anarchy
- Yellow stone
Hizi nlizicheki ila hazikunipa mzuka
-Queen of the south (kwa maoni yangu hii series biashara ya madawa wameifanya ionekane lelemama ambayo hata mdada mweny roho nyepesi anakuwa don)
- Just call saul (iko poa sema iliniboa tu, ni kama series ya ziada ya maisha ya mwanasheia wa breaking bad)
- (ni nzuri lakini kwa visu nliyoweka hapo juu haiwezi kulingana nazo)
- The wire (ni series nzuri ila imekaa kizamani, )
-The sopranos (story ndefu sana, yani hadi jambo litokee wana complicate sana, hata sikumaliza)
- Lily hammer (hii ni naona kuna vi comedy flani, haipo serious kwenye uhalifu)
Series hizi sio za umafia kama nlizozitaja ila zina nafasi ya kipekee mno, ni kile kipindi nimeanza kucheki series, hizi series zilinibamba mno.
1.prison break - unasubiri nini kama bado hujaicheki??
2. 24 - jack baur siji kumsahau
3. lost - bonge moja la adventure.
kuhusu wakorea nmecheki series zao kibao tu nilizikubali iris, city hunter na jumong ii, wakorea nao wanajitahidi ila huwezi kuweka series zao kwenye midude niliyoweka huko juu 😂 😂 labda kama unataka series za kuwapa dada zako huwa naona wanazikubali.
Ndio season 2 inatoka mwakaniWakuu hivi gangs of london itaendelea kweli??
Asante mkuuNdio season 2 inatoka mwakani
Wanavyosema inamuhusu sana yule blackAsante mkuu
Nilisikia sean wallace nae hatokuwepo
unataka ipi??Mkuu katika hizo series ulizozitaja kuna ambazo hazipatikani kabisa Netflix. Nazipataje??
List nzuri,zote nilizikubali...ongezea na;series nazopendaga kuangalia zinahusu magenge ya uhalifu, umafia, madawa, n.k
hizi ni series ambazo nazikubali mno, yaani hazikuniboa, zilinifanya niwe hooked vibaya mno. (chini kuna list ya zilizoniboa [emoji23] )
Za ziada, ni kali ila siwezi kuzichanganya na hizo mashine za juu
- BREAKING BAD
- NARCOS (toleo la pablo na toleo la mexico)
- SNOWFALL
- GODFATHER OF HARLEM
- LA CASA DE PAPEL (Mobey heist)
- PEAKY BLINDERS
- GOMMORAH
- THE OZARKS
- MC MAFIA
- POWER (tolea la mwanzo, toleo la book ii na book iii)
- EL CHAPO
- TOP BOY
- BAD BLOOD
- ZERO ZERO ZERO
- ANIMAL KINGDOM
- BANSHEE
- Gangs of london
- Sons of anarchy
- Yellow stone
Hizi nlizicheki ila hazikunipa mzuka
-Queen of the south (kwa maoni yangu hii series biashara ya madawa wameifanya ionekane lelemama ambayo hata mdada mweny roho nyepesi anakuwa don)
- Just call saul (iko poa sema iliniboa tu, ni kama series ya ziada ya maisha ya mwanasheia wa breaking bad)
- (ni nzuri lakini kwa visu nliyoweka hapo juu haiwezi kulingana nazo)
- The wire (ni series nzuri ila imekaa kizamani, )
-The sopranos (story ndefu sana, yani hadi jambo litokee wana complicate sana, hata sikumaliza)
- Lily hammer (hii ni naona kuna vi comedy flani, haipo serious kwenye uhalifu)
Series hizi sio za umafia kama nlizozitaja ila zina nafasi ya kipekee mno, ni kile kipindi nimeanza kucheki series, hizi series zilinibamba mno.
1.prison break - unasubiri nini kama bado hujaicheki??
2. 24 - jack baur siji kumsahau
3. lost - bonge moja la adventure.
kuhusu wakorea nmecheki series zao kibao tu nilizikubali iris, city hunter na jumong ii, wakorea nao wanajitahidi ila huwezi kuweka series zao kwenye midude niliyoweka huko juu [emoji23] [emoji23] labda kama unataka series za kuwapa dada zako huwa naona wanazikubali.
Hii Godfather of Harlem ipo Netflix mkuu??unataka ipi??
Uliipata? Nipo na link hapaHebu fanya namna maisha yangu yawe mepesi basi