Series (Special thread)

wapi nimesema siipendi Money Heist? Eti "wapambe wenzio", inaonekana imekukera kuona kuna watu wanasapoti nilichokisema. Eti michambo, wewe jamaa una tatizo kubwa kuliko maelezo. Michambo ndio nini? Maneno unayoongea na dada zako unatuletea humu!?

NB: Usihangaike kunijibu, utapoteza muda wako, nimeshakuweka kwa "ignore list".
 
Kula like
 
Una matatizo ndugu afu unapenda ligi sana,

Nimesema we mshindi hayo maneno mengine sijui utumbo n.k nikuonesha we ni wa namna gani.
 
Una matatizo ndugu afu unapenda ligi sana,

Nimesema we mshindi hayo maneno mengine sijui utumbo n.k nikuonesha we ni wa namna gani.
Mimi nilishamaliza na wewe ungekuwa na busara na huna matatizo kichwani usingejibu iyo sms ya tangu Ijumaa na sisi tushasahau hayo mambo tunadiscuss vitu vingine wewe unaleta utumbo na utoto
 
Mimi nilishamaliza na wewe ungekuwa na busara na huna matatizo kichwani usingejibu iyo sms ya tangu Ijumaa na sisi tushasahau hayo mambo tunadiscuss vitu vingine wewe unaleta utumbo na utoto
Kwahyo kama ni toka ijumaa ndio haitakiwi kujibiwa leo,

Basi sawa
 
Naweza kupata tamthilia za kifilipino za zamani (The promise, Timeless, Marimari, It might be you, more than love. Etc) mwenye link au jinsi ya kuzipata hizi tamthilia anaijuze tafafhali
 
Hawa watu kupata tamthilia zao mtandaoni ni ngumu mno, sijui walitumia njia gani kuzuia zisivujishwe

Kuna sites niliwahi kuzifuma ila mpaka ulipie..
 
Peaky fucking blinders
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…