Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Heshimu lists mzee na ndio hao wamekaa chini wakaona izo ni bora zina rate kubwa na ukitaka kuzitoa ina maana unakuja kwenye topics nyingine ya Genres maana humo kuna hadi animation. So tunaheshimu IMdb mzee users wao wapo excellent that why hata wakiona watu twitter wanafanya harakati fulani na wao wanaongeza au kupunguza rate ya series au movies π€£π€£π€£IMDB wamehusisha na documentaries, ukitoa documentaries GOT ipo katika top 10, mbona unakaza fuvu mzee.
ππππ
Money Heist yako unayoipigania ukiondoa hizo documentaries inakuwa wapi?
Una utoto mwingi sana jamaa.Heshimu lists mzee na ndio hao wamekaa chini wakaona izo ni bora zina rate kubwa na ukitaka kuzitoa ina maana unakuja kwenye topics nyingine ya Genres maana humo kuna hadi animation. So tunaheshimu IMdb mzee users wao wapo excellent that why hata wakiona watu twitter wanafanya harakati fulani na wao wanaongeza au kupunguza rate ya series au movies π€£π€£π€£
Huna facts maana unaamini kwenye rate za IMbd na IMBd imeipa rate kubwa izo Documentaries kuliko GOT.Una utoto mwingi sana jamaa.
ππππ
Una utoto mwingi sana jamaa.
ππππYeah ni utumbo coz hata wewe unashangaa most watched series of all time Breaking bad ipo chini π€£π€£
Embu kabla sijakutajia niambie series bora kuwahi kutengenezwa ina sifa zipi? Maana hujui uanchosimamia na wala hujibu maswali yangu zaidi ya kusema kwangu mimi kwangu mimi π€£π€£π€£
Kwa kichwa chako kilivyo (the way unavyonijibu kila hoja niliyokupa), hata nikikupa majibu hauwezi kukubaliana nayo. It will be just like flogging a dead horse!Huna facts maana unaamini kwenye rate za IMbd na IMBd imeipa rate kubwa izo Documentaries kuliko GOT.
Haya tuambie why wameipa rate kubwa Documentaries kuliko GOT? Huwezi ukajibu ili swali hata uzaliwe second chance na uzuri hunijibu maswali yangu coz huchomoki utabaki kwangu mimi kwangu mimi π€£π€£π€£π€£
Atakujibu, "Umetoka nje ya mada, huo ni wimbo, toa mfano wa TV series bhana"Mkuu achana nae anabisha bure huyo kaelewa anakaza kichwa umempa mifano kibao yeye kakzana na list yake ya Most watched. Despacito ndio ngoma yenye views wengi kwahiyo tuseme ndio best song ever written
24 na Homeland nakubaliana na wewe, hizo nyingine bado sijazionaHakuna series kali kama 24,Homeland security,House of cards,humo Kuna action,drama,crime,politics,clandestine,overt action
Eti kilicho popularity and quality are different. Umeulizwa quality ipi iliyopo kwenye izo series mpaka kuwa na highest rated tv shows bora kwa muda na sio zingine? - huna jibu.ππππ
Eti nashangaa! Nani ameshangaa!?
Siwezi kushangaa jambo dogo kama hili aisee. Ndio maana nimekwambia popularity and quality are different terms. Kijana, sio kila kilicho popular basi ni top quality.
Anyways, ngoja nikupe KOMBE tu. Umeshinda, Money Heist ni moja kati ya TV Series kali kabisa kuwahi kutengenezwa hapa duniani.
Bro umeulizwa swali umekimbia taja series ambayo haina makosa? Umekimbia π€£π€£π€£Mkuu achana nae anabisha bure huyo kaelewa anakaza kichwa umempa mifano kibao yeye kakzana na list yake ya Most watched. Despacito ndio ngoma yenye views wengi kwahiyo tuseme ndio best song ever written
Jibu swali basi series bora kuwahi kutengenezwa zina sifa zipi????π€£πππππ
Eti nashangaa! Nani ameshangaa!?
Siwezi kushangaa jambo dogo kama hili aisee. Ndio maana nimekwambia popularity and quality are different terms. Kijana, sio kila kilicho popular basi ni top quality.
Anyways, ngoja nikupe KOMBE tu. Umeshinda, Money Heist ni moja kati ya TV Series kali kabisa kuwahi kutengenezwa hapa duniani.
Huna majibu kwasababu ni maoni yako kwamba kwa upande wangu hiki bora kuliko hiki kwasababu kwangu mimi kwangu mimi ndio zinatawala? Huna hoja bro kaaga kimya πππKwa kichwa chako kilivyo (the way unavyonijibu kila hoja niliyokupa), hata nikikupa majibu hauwezi kukubaliana nayo. It will be just like flogging a dead horse!
Huyo ndio utumbo kabisa kimekuja na screenshot chake uchwara ili kionyeshe makosa ya money heist sasa kuna series haina makosa EMBU tupe izo series? Oooh nikikupa utaleta webs zako za kipuuzi. ππAtakujibu, "Umetoka nje ya mada, huo ni wimbo, toa mfano wa TV series bhana"
πππ
Eti kwakuwa 6ix9ine kavunja record ya Eminem tuseme 6ix9ine ni bora? πππKwa kichwa chako kilivyo (the way unavyonijibu kila hoja niliyokupa), hata nikikupa majibu hauwezi kukubaliana nayo. It will be just like flogging a dead horse!
Eti kwakuwa 6ix9ine kavunja record ya Eminem tuseme 6ix9ine ni bora?
Eti huu ni mfano kweli wakati Eminem kauza sana Platnum, huyo 6ix9ine hajauza kama Eminem wala hana tuzo hata ya ngoma moja moja na Eminem alafu unawaweka sehemu moja hii ni mfano na uwezo wako wa kufikiri umefikia hapa. Hiyo ndio maana ya Eminem kuwa bora utakuwaje bora wakati contents za nyimbo zako haziuzi? Siku anatoa album watu wanakuwa attention sasa mfano huu una tofauti gani kati ya Money heist na Game of Thrones kuwa bora?
Eti popularity utakuwaje popularity wakati una series yenye story mbovu?
Tuambie kama wanafanya kiki ili series ziwe hadi kufuatiliwa na wengi tuambie kiki gani? ----- Huwezi jibu hapa
Sijui kama unasoma hoja zako mzee wa kwangu mimi kwangu mimi wewe ni nani? Ni mshabiki tu anayependa kitu fulani
Bro tuambie series ipi haina makosa??? Mbona unakimbia swali ππHii ndio Exactly definition ya Fanboy tena nahis imezid, Man..!this guy canβt take a break eti, utafikiri yuko Possessed na Money Heist demons
Bro tuambie series ipi haina makosa??? Mbona unakimbia swali
Acha kuzuga eti fanboy tuambie izo series zako au ushachungulia kwenye webs zako za maana
Acha ushamba ndugu TV shows kama umeanza kuangalia juzi basi jifunze kuhusu ilo "HAKUNA NA HAIJAWAI KUTOKEA TV SHOW YOYOTE DUNIANI ISIYOKOSA MAKOSA" maana wale ni binadamu sio Mungu kwamba hawakosei lakini mistakes zao hazikufanyi usiangalie TV shows eti huyu kasema hivi.I know how this goes nikitaja Tv show yoyote utakuja na mbwembwe utaleta maneno tena, of course hamna Tv show ambayo inapendwa na kila mtu...lakin sasa punguza maneno, najua utajibu shit na mm sitokaa kimya ntakujibu then utanijibu tena kwa ubishi tutaendelea na majibizano mwisho ntakuwa bored ntaacha na wewe utaendelea kupiga kelele atakuja mtu mwingine utabishanana nae ukichoka utalala. kesho kutakucha utaendelea kubisha blah blah...sihitaji hiyo game
Kwa akili zako kwa vile huipendi Money heist basi ukaona hapo nimetaja Money heist tu kumbe nimetaja hadi Game of Thrones na alafu unasema unaangalia eti Suits na series ili ujifunze kitu sasa hata kusoma huelewi unajifunza nini humo?Hii ndio Exactly definition ya Fanboy tena nahis imezid, Man..!this guy canβt take a break eti, utafikiri yuko Possessed na Money Heist demons