Inawezekana ndio maana unaona nimeshindwa kwasababu chance imetoka kwa failure mjingaambaye anakataa maoni ya watu yasitumike kama hoja at the same time tunamuona anatumia maoni yawadau kutoka reddit as evidenceNimekupa chance embu screenshot ya walipinga kwamba Peter Quinn kamla Carrie Mathison? Weka hapa watu waone mimi muongo maana nimeleta screenshot ya uongo maana huwezi na hakuna kitu kama icho ilo mimi naishusha iyo episode sasa hivi nionyeshe umma humu kwamba wewe umeangalia na upo sahihi
Ona sasa hili tatizo nimelirudia kulikemea zaidi ya mara tatu humu, umelirudia tena?Wapi nimeandika watu kwenye 24? Na leta screenshot niliomention kuhusu Lupin alafu nimesema ni mimi?
Watu wameona na kuelewa wewe umeelezea uongo wa hali ya juu sasa ilo jeshi lako la mtu mmoja lipi la kipuuzi au?wakati una video hapo fungua uoneshe hutaki sasa unataka kuaminisha kwa lipi?Tumia hoja usitumie support ya wingi wa watu, mi nachinja peke yangu bila mshika pembe na sina wenge
Poa tafuta maoni ya watu wanaosema Peter Quinn kamla Carrie Mathison hapo hapo reddit au sites yoyote? 😆😆😆😆Inawezekana ndio maana unaona nimeshindwa kwasababu chance imetoka kwa failure mjingaambaye anakataa maoni ya watu yasitumike kama hoja at the same time tunamuona anatumia maoni yawadau kutoka reddit as evidence
Bro si nimesema nimeandika leta ushahidi basi kwenye izo comments zangu.Ona sasa hili tatizo nimelirudia kulikemea zaidi ya mara tatu humu, umelirudia tena?
Kwani una mental ill kama favorite charater wako wa kwenye homeland?
Au ulipigwa na kitu kizito kichwani?
Watu na nani?Watu wameona na kuelewa wewe umeelezea uongo wa hali ya juu sasa ilo jeshi lako la mtu mmoja lipi la kipuuzi au?wakati una video hapo fungua uoneshe hutaki sasa unataka kuaminisha kwa lipi?
Umeona jinsi ulivyo mjinga? Reddit ina maoni ya watu nawe ulikataa kutumia maoni ya watu kama fact.Poa tafuta maoni ya watu wanaosema Peter Quinn kamla Carrie Mathison hapo hapo reddit au sites yoyote? 😆😆😆😆
Utashindwa hapa tena sasa sijui nikusaidie nini ili ujisafishe kwamba wewe huangalii tu series bali unaelewa?
Nionyeshe hayo maoni ya watu kwamba peter Quinn kamla Carrie? Au kama unavyosema wewe eti Kagongwa? Ili kuniprove wrong muelevu 😆😆😆Umeona jinsi ulivyo mjinga? Reddit ina maoni ya watu nawe ulikataa kutumia maoni ya watu kama fact.
Mbona hueleweki kama sigara kali mzee?
Sasa why wananisupport mim kwamba Carrie hajagongwa na Peter Quinn na wasikussuport wewe kwamba ni kweli kagongwa? Au umeshakataa hii kauli?Watu na nani?
Usiwashirikishe wenzako kwenye ujinga wako, hili ni tatizo lako binafsi na unabidi ukomae nalo kivyako, wala usijaribu kutumia wingi wa watu kujiona una weredi, unatafuta attention?
Wapo watu wamekuona lunatic kwa kujidai much know kwasababu huu mjadala wa mimi na wewe sio wa kwanza, kuna watu wayback ulisha argue nao sasa unatafuta sympathy
Sasa wewe una ushahidi upi wa kunijibu kwa fact kwamba ulichoongea kuhusu kugongwa kwa Carrie na mates zake wa CIA na Peter Quinn umetoa wapi? Kwenye episode ya season ipi?😂😂😂Umeona jinsi ulivyo mjinga? Reddit ina maoni ya watu nawe ulikataa kutumia maoni ya watu kama fact.
Mbona hueleweki kama sigara kali mzee?
msaada mwenye link ya fast and furious 9
Imetoka ila ipo chafu na sio HDKwani imetoka?
Imetoka ila ipo chafu na sio HD
Yeah! Ilo ndio la msingi maana hizi chafu utakuta audio mbovu na ukungu kwenye videoAisee Bora nsubiri Century Cinemax sitaki kuharibu The fun maana Blockbuster ni chache siku hizi tangu Corona ije nasubir zang 4K
All da bestNaanza Peaky blinders leo
Mkuu Naomba link ama namna Ya Kuipata NO mans Land. Plz.Kama wewe uliiona ulishindwaje kuona clearly errors ambazo ni complex kuliko 24?
View attachment 1797106