kwani we si ndio ume prefer reddit as trusted source?Bro wewe umesema Peter Quinn KAMGONGA CARRIE au sio wewe? tuambie episode ya season ipi mbona unakimbia kujibu ilo swali unazungukazunguka πππ
kwani hujui kusoma?Sio mfukoni bali kwenye series yenyewe so kama wewe ni mkweli tuambie Peter Quinn KAMGONGA CARRIE EPISODE YA SEASON IPI?
Hili ni jibu la swali langu bro kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn episode ya season GANI? ππππkwani we si ndio ume prefer reddit as trusted source?
Mimi nataka twende huko huko reddit ambako wewe umekupa credit kua kuna fans wa homeland, nataka nijue je hakuna fans waliotoa maoni yanayosapoti hoja yangu?
Hili ni jibu la swali langu bro kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn episode ya season GANI?
Basi nenda wewe reddit alafu uje na screenshot ya ushahidi wa kuwa Peter Quinn kamla Carrie
Wewe unaniuliza swali baada ya kukuuliza swali unatafuta pa kutokea kweli mtu mzima umeumbuka π€£ππ.kwani hujui kusoma?
Quinn alikua ni nani yake carrie?
kwani aliyeanza kuleta screenshot za reddit as a evidence hapa ni nani?Hili ni jibu la swali langu bro kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn episode ya season GANI? ππππ
Basi nenda wewe reddit alafu uje na screenshot ya ushahidi wa kuwa Peter Quinn kamla Carrie
Jamaa kagoogle matango pori alafu hana ushahidi ππ
Bro kama screenshots za reddit zimekukwaza nisamehe ila nimekupa uhuru nenda na wewe reddit leta infoz za kuonyeaha Carrie Mathison kagongwa na Peter Quinn season flani kwenye episode flani utetee hoja yako kwamba huyo demu anagongwa hovyo.kwani aliyeanza kuleta screenshot za reddit as a evidence hapa ni nani?
Mimi nimekuuliza tu kua huko ulikochukua hiyo screenshot unahakika hakuna majibu yaliyo kinyume na hayo majibu kwenye screenshot yako?
socrates method of questioning inaruhusu kujibu hoja kwa swaliWewe unaniuliza swali baada ya kukuuliza swali unatafuta pa kutokea kweli mtu mzima umeumbuka π€£ππ.
Wewe umeandika na kuonyeaha kuwa Carrie kagongwa na Peter Quinn so tuambie ni season ipi au leta clip? Na nimekuelezea huko juu kuhusu peter Quinn ni wapi KAMGONGA CARRIE?
Mbona unakimbia kujibu ilo swali?
Hakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong? π€£π€£socrates method of questioning inaruhusu kujibu hoja kwa swali
swali langu linalojibu hoja yangu ni hili
huko ulikochukua hiyo screenshot unahakika hakuna majibu yaliyo kinyume na hayo majibu kwenye screenshot yako?
Sasa hvi tunasubiri season 3... Hii bonge moja la seriesKuna series inaitwa Who killed sara Season 1 na 2 mwaka huu!
Hakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong?
Haya nenda kanipe reddit kanipe infoz kaka yangu mkali wa series za kijasusi na Legend wa series.
Basi jamaa atakuja kuuliza swali baada ya kumjibu ila yeye hanijibu maswali yangu
Naomba uniambie kwenye significant peter quin amesimama kama nani yake carrieNimefatilia mabishano yenu tangu mwanzo mpk sasa naona jamaa ameshindwa kukujibu swali lako na Mimi nilikua nasubil ataje ni episode gani P quinn alimla carrie
Nenda huko huko reddit majibu ambayo yako out ya screenshot yako yamejibu vyemaHakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong? π€£π€£
Haya nenda kanipe reddit kanipe infoz kaka yangu mkali wa series za kijasusi na Legend wa series.
Basi jamaa atakuja kuuliza swali baada ya kumjibu ila yeye hanijibu maswali yangu
Hawezi jibu hata kidogo huyo jamaa hajaangalia iyo series anagoogle tu then anakuja na screenshot zake ambazo zingine za uongo kama iyo Peter Quinn kamgonga Carrie Mathison mara Carrie Mathison anagongwa na mates wa CIA nimeuliza awataje anakimbia πππNimefatilia mabishano yenu tangu mwanzo mpk sasa naona jamaa ameshindwa kukujibu swali lako na Mimi nilikua nasubil ataje ni episode gani P quinn alimla carrie
Kama wewe uliiona ulishindwaje kuona clearly errors ambazo ni complex kuliko 24?Hawezi jibu hata kidogo huyo jamaa hajaangalia iyo series anagoogle tu then anakuja na screenshot zake ambazo zingine za uongo kama iyo Peter Quinn kamgonga Carrie Mathison mara Carrie Mathison anagongwa na mates wa CIA nimeuliza awataje anakimbia πππ
Why unijibu swali langu?Nenda huko huko reddit majibu ambayo yako out ya screenshot yako yamejibu vyema
Hii ni incomplete list wikipedia wameamua kumfichia aibu kuna vibopa vimekua excluded
View attachment 1797090
Niambie uhusiano wa peter quin na carrie ni wa namna gani hapo?
Umeona ulivyo mtoto so kumbe umekubali umeumbuka.Kama wewe uliiona ulishindwaje kuona clearly errors ambazo ni complex kuliko 24?
View attachment 1797106
Looo aisee, ila kifo cha broad kiliniuma sana aisee kwenye hii series. Shukran tu kwamba sio matukio ya kweli.
Hiyo michambo kwangu bado naiona kama ni pumbaaa tuWhy unijibu swali langu?
Nionyeshe hata huko reddit mtu aliyesema Carrie kagongwa na Peter Quinn basi mzee maana sijaona?
Hivi huoni aibu kwamba umeumbuka? π€£ππ next time tafuta mtu ambaye hajaiona iyo series ili ukigoogle humdanganye sio mimi.
Maana maswali yangu hujibu umekimbia alafu unaniuliza maswali ili nikuhadithie wakati umesema umeiona?
Onyesha clip bwana hii ndio ushahidi kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn na hizi ni clips KATEMBEA na mates zake huna izo inabidi nikuache tu maana wewe ni type ya mtu umeumbuka mbele za watu badala ya kusema Sorry nimechapia, nimekosea au kiumeni unakaa kimya mbona inakuwa poa.
Sasa bado unagoogle na kuleta screenshots ambazo zimekudanganya....kweli?ππππ
Am done bro