Series (Special thread)

Bro umeelezea kwa ufasaha na umakini kama Legend wa kuangalia series ndio maana siku zote ukiniambia series flani nicheck lazima niitafute maana wewe ni mtazamaji wa Siri sio mbabaishaji.....Big up for that bro!
 
bila kuwasahau peter quin, Jonas Hollander, Yevgeny, aayan nk
Hapo boyfriend wake ni Jonas Hollander walikutana kwenye foundation baada ya kufukuzwa CIA.
Peter Quinn nasubiri unitajie kagongwa kwenye season gani na episode ipi zaidi ya kukiss tu na jamaa alimpenda carry kinoma.
Brody, Yevgevy na Aayan sitokueleza maana ulikuwa unaskip na hujui kazi ya shushuahu so kuna screenshots hapo chini za why ilibidi awe karibu nao ikiwezekana hata kutembea nao.



 
Paragraph ya pili umesema Carry anagongwa mpaka na mates zake hapo CIA embu wataje hao mates? Season na episode gani? Na mates zake ni nani na nani?
Ukijibu vizuri nitajua umeiona na hata nenda tena ukagoogle ilo uje na ushahidi 😂😂😂
 
Embu nikumbushe episode gani Carrie Mathison kagongwa na Peter Quinn bro 😂?

View attachment 1796480

View attachment 1796481
Mwanzo ulisema na google nilitegemea utakuja na source mbadala kumbe swala la ku google ni nongwa nikifanya mimi ila we kwako fresh. Hii si platform kama jf kila mtu anaweka comment yake?

tutumie reddit kama reference?

Una hakika hapo hakuna comment ambazo zina support hoja yangu?
 
Hao ni fans wa homeland wewe stick kujibu swali na nikakupa option ya kugoogle maana umesema Carrie kagongwa na Peter Quinn so NI EPISODE YA SEASON GANI HUYO JAMAA KAMGONGA CARRIE????
Bro jibu maswali basi mbona unakimbia 🤣🤣🤣🤣🤣
NDUGU YANGU UNAZIDI KUUMBUKA
 
hujajibu swali, katika hao walio changia kwenye hiyo platform hakuna ambaye anakubaliana na hoja yangu?
 
hujajibu swali, katika hao walio changia kwenye hiyo platform hakuna ambaye anakubaliana na hoja yangu?
Bro wewe umesema Peter Quinn KAMGONGA CARRIE au sio wewe? tuambie episode ya season ipi mbona unakimbia kujibu ilo swali unazungukazunguka 😂😂😂
 


I couldn’t agree more, Umemaliza kila kitu Kuna Jamaa zangu Walikuwa wanani mind Nlikuwa nafuatilia Tv show inaitwa Supernatural ya CW imeisha mwaka Jana ina 15 Seasons, Kama ulivyosema ukiona kitu kina seasons nyingi ujue kina mashabiki maaana wale jamaa wakikosa fanbase huwa wana cancel chap hata season 1 tu hiyo hiyo. Ushawahi kuona Show umeiona nzuri ila unashangaa wauni wameifuta.

Kuna Series inaitwa Deception ilikuwa fresh nkaipenda chap tu production ikaifuta iliishia season mbili sijui moja mpaka nshasahau

Shows kibao zimefutwa zinakuja kufufuliwa na Netflix, Maana hawa jamaa binafsi naona wana throw money kujaza contents za Platform yao tu, Kuna Movie na Tv shows nzuri sana Kutoka Netflix sawa ila kuna nyingine unashangaa what they were thinking?
 
wataje wote, hii ni incomplete kwa maana wamemu exclude aayan

View attachment 1796646
Huu ni uongo Peter Quinn hajamgonga Carrie na nimekuelezea huko na reason ya kutembea na hao wote kasoro Jonas coz alikuwa boyfriend wake wa kawaida ila hao wengine apate infoz

PETER QUINN KAMGONGA CARRIE EPISODE YA SEASON IPI?

CARRIE KATEMBEA HADI NA MATES ZAKE WA CIA EMBU GOOGLE UTUAMBIE NI NANI HAO? SAUL AU? 🤣🤣🤣🤣
 
Bro mimi naifuatilia iyo supernatural since chuo iyo season 15 nimeishusha bado kuangalia tu na umeelezea vizuri sana kama mzoefu wa series
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…