Series (Special thread)

Duuh! Unapinga idadi ya viewers kwa kufananisha na video za YouTube embu toa nfano wa series maana huwezi ukapata viewers wakae kunazia season 1 mpaka 8 alafu unacompare na video ya dks 3 au lisaa kweli una point au unabishana tu?.
Na kuhusu hakuna sehemu maalum ya kuangalia viewers mpaka nimeona wewe bado sana kwenye ulimwengu wa series omba usaidiwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Demu anagongwa na mpaka vitoto....niambie mtoto anaanzia na umri gani? Na unionyeshe kwenye iyo series uyo Carrie Mathison kagongwa na mtoto gani humo? Alafu sijui kufundisha michezo ya ushoga imekujaje hapa na pia kuhusu mashushu kufundishwa kuwalaghai iko ni kitu cha kawaida hata mashushushu wa kike wa kiafrica sio urusi tu anatumwa kuchukua infoz au uchunguzi kwenye eneo fulani anachukua uhusika wa hadi changudoa Bro alafu unasema unaangalia series za kijasusi alafu hujui kuhusu hili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we bado sana.

Makosa ya same plate numbers kutumika kila la gari ni kosa la kawaida kweli kwa wazungu? Ingekuwa bongo sawa ila uliogoogle hayo makosa ya homeland ni kawaida la kwanza hata mchina hawezi kuongea maneno ya Kiingereza kwa ufasaha atachapia tu na angalia watu wa Mara wanaweka r kwenye l so ni common kabisa ila PLATE numbers ni aibu kubwa kwa mzungu ni hilo nimekuwekea ni mfano hakuna series ambayo ipo perfect Kuna hadi swala la mda kwenye 24 wamezingua sio sahihi niliandika yote nyuma huko.

Embu ngoja niishie hapa maana nabishana na mtu anaangalia series za kijasusi na upepelezi alafu anashangaa shushushu eti kugongwa akiwa anafanya upepelezi 🀣🀣🀣🀣 unalinganisha na utamaduni wakati kila nchi duniani ipo ivo I wish ukae na hata na mashushushu wa kike hapa Tanzania upate shule kidogo.

Siku njema bro
 
Kuhusu ukali wa series ni kwa mtazamaji mwenyewe ni mpenzi wa genre ipi...

Kuna series kama Ozark, Sneaky Pete, Your Honor,Breaking Bad,Peaky Blinders ni watu wachache sana ambao wanazisifia hizi series, kila mtu atakuambia zimepoa, wengi wao ukali wa series wanaupima na mishe mishe bila kufatilia story na genre zao..

Ukiona TV show umefika hadi Season 8,au ina season nyingi tu, ujue hiyo ni tv show bora kabsa na iko na views wa kutosha kupitia network inayoirusha, so usipoipenda wewe jua kabsa umeingia chaka kwa kutazama mgizo usiokuhusu...

Hapo juu umeelezea mengi sana, nadhani jamaa hapo juu ameitizama Homeland kwa kuilinganisha na 24,hapo ndio alipokosea..
 
Kwani views zinakua calculated kwa itifaki ipi? mtu aliyeangalia episode nzima na aliyeangalia dakika 10 za mwanzo wote hao wanahesabika kuwa wameona, mpaka hapo point ya kusema mtu kaangalia season ya 1-8 ni kichekesho na kuonesha hujui angle ya views

Carrie amegongwa mpaka na mates wake pale CIA kwa hiyo unataka kusema alikua anagongwa ilikua ni kwa ajili ya kupata info katika majukumu yake ya kikazi au alikua ana reveal tabia kua ni malaya?

Halafu unaonekana homeland ni either umesimuliwa au ulikua ukiangalia kipindi una stress za madeni, makosa ya plate number unayodai kua yapo kwenye 24, kwenye homeland ni extremely yamefanya show kuwa baffling. Nashangaa huyazungumzii

s04 e02 carrie anavyoondoka kwa dada yake aliondoka na jeep akiwa pamoja na binti yake, lakini wakati anarudi alikuja na model nyingine ya jeep huku indicators za mbele zikiwa tofauti. haya makosa uliyaona au ndo nakustua saizi?

Carrie alikua mzembe na hakuendana na uhalisia wa taaluma ambayo alikua akii-present, hakuwa na uwezo wa kutumia uongo kumshawishi target kitu ambacho kila shushushu anatakiwa kufanya

Umezungumzia kuhusu kuipima 24 na lupin katika uhalisia na umeona haifit, je hiyo homeland ime qualify?

Katika mazingira gani ya realistic CIA inaweza ikashindwa kubaini kujua tatizo la mental ill alilonalo mtu wakati wa uchunguzi wa huyo mtu kabla ya kuajiriwa? Ni mjinga tu ndo anaweza amini kua futuhi hiyo inaendana na mazingira halisi.
 
Jibu swali umesema Carrie kagongwa na watoto niambie mtoto yupi huyo? Basi huko kwengine unaongea taarabu na hujaelewa iyo series unagoogle.....so jibu swali huyo mtoto ni yupi?
 
Jibu swali umesema Carrie kagongwa na watoto niambie mtoto yupi huyo? Basi huko kwengine unaongea taarabu na hujaelewa iyo series unagoogle.....so jibu swali huyo mtoto ni yupi?
Kama wewe uliiangalia na ukaielewa hiyo series ilikuaje ukashindwa kuona hizo errors ambazo nimekuonesha?...sina haja ya kumtaja huyo mtoto na kwa na kwa mtu ambaye kaanglia hiyo series kwa akili timamu ya upembuzi atakua kanielewa
 
Kama wewe uliiangalia na ukaielewa hiyo series ilikuaje ukashindwa kuona hizo errors ambazo nimekuonesha?...sina haja ya kumtaja huyo mtoto na kwa na kwa mtu ambaye kaanglia hiyo series kwa akili timamu ya upembuzi atakua kanielewa
Umeongea Uongo eti sina haja ya kumtaja huyo mtoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
umeongea uongo eti homeland haina mistakes.... nilivyokuonesha hizo errors umeenda kuhakikisha au?
Wapi nimeandika homeland haina mistakes?
Nitajie huyo mtoto aliyegongwa na Carrie?
Hujui kausha tu man maana unatia aibu tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…