Series (Special thread)

naipata wapi bwana wewe
 
Unajua huku Hollywood na UK promo nyingi kuliko Italia lakini kuna vitu sana huko Italia. Iyo The immortal na Suburra nitazitafuta mzee kwa udi na uvumba
 
Warriors
The last kingdom
Vikings
Games of throne
These are my favourites.
 
heshima kwako kaka mdogo, nitazifanyia kazi hizo assignment
ila kabla hatujaenda mbele naomba turudi kwenye kiporo chetu, nahitaji link ya kupakua season 2 kwa series zifuatazo
  1. berlin station
  2. the bureau
Berlin Station season 2

heshima kwako kaka mdogo, nitazifanyia kazi hizo assignment
ila kabla hatujaenda mbele naomba turudi kwenye kiporo chetu, nahitaji link ya kupakua season 2 kwa series zifuatazo
  1. berlin station
  2. the bureau
The bureau season 2

Kuna ushauri wowote kuhusu bundle bora la ku download movies. Haswa zile bundle za usiku. Je!? Ni mtandao gani upo cheap na reliable speed.
 
Kuna ushauri wowote kuhusu bundle bora la ku download movies. Haswa zile bundle za usiku. Je!? Ni mtandao gani upo cheap na reliable speed.
Kuna mdau humu niliona post za juu hapo, ame recommend Halotel wako na vifurushi poa hasa wakati wa usiku, elfu 1500 kwa GB 5..kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi, so unaweza tumia GB 10 kwa shilingi elfu 3000 kutokana na kasi ya mtandao wenyewe na eneo ulipo...
 
Hii Suburra niliianza nikashindwa kuendelelea labda kuna siku naweza jitahidi niiangalie tena.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…