Series (Special thread)

Helen McCrory, British Star of Stage, Film and TV, Dies at 52
She was acclaimed for her work on the TV series “Peaky Blinders” and in three Harry Potter movies, but she first gained notice in the London theater.
 
Supernatural imenishinda
 
Ipo season ya ngapi sasa hv?!
 
Aisee Naomba Mapendekezo Ya Series Niruke Nayo Leo Yenye Maadhi Ya Action,Crime ,Adventure...NB: Nimezicheki Nyingi kwahiyo Now Nakosa Nicheki ipi Ukimention Nikiwa Sijaipitia Utakuwa umenisaidia Sana
Tafuta NIKITA AU THE LAST SHIP mkuu U
takuja kunipa mrejesho mkuu PM mwanzo mwisho Ni show, show!! Ina season 5 nadhani...
 
Dark ni nzuri sana
ila wakati unaangalia inabidi uwe na karatasi na kalamu kuandika matukio
season 1 inaeleweka vizuri ila season 2 inachanganya bila kuwa makini unaweza usiambulie kitu.
Nilijaribu kuiangalia nikaishia kuifuta tu wala sikuipenda
 
Ukitaka kujua waitaliano hasa jiji la wahuni la Napoli wana roho mbaya basi tizama ili dude. Mimi nimecheck seasons zote 4 nasubiri season ya mwisho ya 5 inatoka mwaka huu
Moja ya TV Show yenye Crime kali na kusisimua muda wote, nmeangalia zote pamoja na movie yake, inaitwa The Immortal, hii movie imebase hasa kwenye maisha ya Ciro... Hasa hasa baada ya kupigwa risasi

Waitalia wana vitu adimu sana, sema watu wengi bado hawajawastukia, nasikia wako na mzigo mwingine pia unaitwa Suburra... Nao wanausifia japo bado sijaupatia time

The Immortal
 

English Edition inapatikana!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…