Series (Special thread)

Power wanataka iendele mpaka Book 3 kitu ambacho wataboa kingine waje na ngonjera kua Ghost hakufa hapo ndio wataboa mpaka basi
Basi uliza kwanza mzee au utakuwa hujaangalia vizuri mwisho wa power yenyewe waliweka wazi kabisa izo chapter zinahusu nini? Na hizi chapter hazipo 3 mzee labda unaongelea power nyingine
 
Hakuna man nenda kaangalie reviews utagundua mimi ni Mpenzi wa series especially za drug ninaangalia hadi za italia huko ola iyo Narcos wamefail mzee ndio maana Netflix wakaafanya haraka haraka kuitoa narcos mexico maana iyo ndio balaa jinsi watu walivyoanza kuuza bangi hadi madawa
 
Kwa wale wapenzi wa MCU mnaweze kuangalia WandaVision season ya 1 imekamilika jana
Ninseries nzuri kama we ni mpenzi wa mcu(marvel cinamatic universe)
Na ndio imefungua phase 4 ya marvel
 
wenzangu wa blacklist tujuane tafadhali...mzigo upo season 8... niliishia episode 6. vp zimetoka nyingne?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…