Utaamua mwenyewe kama utaona bado inakuvutia au vipi. Kwani hujawahi kuangalia series ikakuboa ukaachana nayo tu iendelee na wewe unaendelee na mambo mengine
Yaah! Ubaya hakuna series isiyokuwa na ushoga mzee so wewe wakianza kushikana peleka mbele maana aim yao wewe na mashoga wenzao waone ni kitu Cha kawaida ila sio jambo la kawaida kwangu na series ambazo hazina huo ujinga ni chache Sana ikiwemo blacklist