Tumia torrentsWadau kwa yeyote anayejua App nzuri ya kudowload series za kikorea anijulishe pls
Link ya commandos hakuna mwenye nayo wakuu..JF hatujawahi shindwa kitu mbona
Yeah tayar nmecheki hii iko poa sana nadhani mpk sas imeishia episode ya 10Daemusin
Mzigo wako wa Code huu,
Code amezitengeneza yeye mwenyewe sasa zinamuandama,Anatakiwa kuzifutilia mbali lakini kabla ya kuzifuta Anafukuzwa kazi..
Na Dunia iko mashakani ni yeye pekee mwenyewe kuweza kutatua ishu nzima..
Mzigo umetulia sana huu!! View attachment 1677325
Sorry nahitaji kudowload kupitia simuTumia torrents
Bahati mbaya ni kuwa tayali wameshai cancel,haitakuwa na season 2 tena, wanadai wameingia hasara,wamewekeza mzigo mkubwa lakn sokon haijafanya poa... Effect za covid 19 bado zinalitesa soko la seriesYeah tayar nmecheki hii iko poa sana nadhani mpk sas imeishia episode ya 10
Icheck hutojutia,bonge ya kituGangs of london nimeipenda trailer lake I'm gonna add it on my list
The boys ni bonge ya kituSeries nyingi zilizopo Netflix kumejaa mambo hayo. Icheki The Boys
Ni kweli kila series lazima ina shoga netflix hata sijui wako kwa kampeni labda.Series nyingi zilizopo Netflix kumejaa mambo hayo. Icheki The Boys
Ma AgentNi kweli kila series lazima ina shoga netflix hata sijui wako kwa kampeni labda.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Strike BackHivi ni series gani vile jamaa alificha kisu kwenye mkund.u?
O2TvSeries hakuna series's inakosa humo hata kama ni mpya nimetoka Jana humo utaikuta tena quality na ni chini ya mb 200 ukikwama ni checkWadau kwa yeyote anayejua App nzuri ya kudowload series za kikorea kwa kutumia simu (smartphone) anijulishe pls
inahusu nnMazee hii Lupin series ya kifaransa sio mchezo aisee
Niliicheki the oval ikanikera kwa mambo ya ushoga.
Hivi hii series ni nzuri kweli?maana nimeangalia episode 2 za s1 nikaona haina lolote
Mshkaji mmoja aliingia France na dingi yake akiwa bado dogo wakitokea Senegal. Dingi yake akawa chaffauer wa mzee mmoja hivi Don. Huyu mzee alikua anamiliki necklace flan yenye thamani ya mamilioni ya pesa ambayo kihistoria ilikua ya Marie Antoinette aliyopewa na king Louis XVI. Akaikatia bima ya maana one week before then ikaibiwa halafu akaja kummframe dingi yake mshkaji Kama ameiiba, mzee akafungwa jela halafu kule jela akajinyonga Ila kabla alimwambia mwanae kwamba Hana hatia. 25yrs later mwamba Assane Bubakar Diop anatafuta justice kwa kile walimfanyia dingi yake. Jamaa Ni genius hatariinahusu nn
Kweli, Ni tamuHapo tu ndo wanapokera hao jamaa, ila wamejitahidi