Daah! Ndo tunaombea mzee maana corona bado ipo na ukiangalia series nyingi zilizoachiwa ni zile zilishaigizwa before corona so kuna uwezekano huko mbele kama corona ikirndelea kusumbua tutakosa vitu vizuri kama Ivo maana iyo series wameact kwenye nchi tofauti tofauti sana