Every season in the wire is very important for the series as a whole.Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi
Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela
Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
Kweli kabisa..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mimi watu wa aina hii naachana nao na kupita bila kuwajibu coz unabishana na mtu ambaye anasifia kitu akipendacho na kuaminisha umma hiki ni kizuri kushinda chote pasipo kujua tv shows zingine zipoje na ukienda kwenye vyanzo vya kuaminika iyo prison break haipo hata top 4 na haina viewers kiivyo watu wanaoifuatilia
Hizo zote ulizotaja ni series zinazotazamika (ukiondoa GOT), lakini haziwezi kuingizwa katika mjadara wa kuzungumzia TV Series/TV Show kali tangu kuanza kwa sanaa ya uigizaji. Endelea kufuatilia/kutazama TV Series/TV Shows, ukishakomaa utakuja kuona kuwa Prison Break ni takataka tu unapokuja katika mjadara wa TV Series bora kuwahi kutengenezwa kwenye sayari ya dunia.Series zote ambazo wenzio kama wewe wanazisifia
1.Game of thrones
2.24
3.Money heist
Hizi ndizo Bora kwa mujibu wa wenzio lakini kwangu hizo bado naziona ni rubbish ukikompea na Prison break!
Ahahaaah, kuna wakati watu kama hawa tunatakiwa kuwapa "challenge" kidogo Chief.😆😆😆😆 Mimi watu wa aina hii naachana nao na kupita bila kuwajibu coz unabishana na mtu ambaye anasifia kitu akipendacho na kuaminisha umma hiki ni kizuri kushinda chote pasipo kujua tv shows zingine zipoje na ukienda kwenye vyanzo vya kuaminika iyo prison break haipo hata top 4 na haina viewers kiivyo watu wanaoifuatilia
Tehran ni best mkuu. Tusubirie Friday
Kuna vinu bado hajaviona huyu...Hata mimi nilikuwaga na mtazamo kama wake ila kwa sasa hapana hasa baada yakuangalia kitu iliyoitwaga LOST.Nachelea kusema, wewe bado ni TOTO DOGO sana kwenye ulimwengu wa TV shows/TV series.
Umeongea kweli mkuuKweli kabisa..
Mfano mie naipenda sana Show Moja inaitwa Sheriff Longmire..
Lakini ukweli The wire na Breaking Bad ni show bora zaidi ya My favorite show.
Shida yetu sisi tuko biased Sana.. ukipenda tu basi hiyo ndio bora... Hisia zinatutawala.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yeah mzee lakini huyo anaonekana sio mwangaliaji wa series cz muangaliaji wa series hawezi sema hata siku hii series ni kali kuliko zote wakati series zina story tofautiAhahaaah, kuna wakati watu kama hawa tunatakiwa kuwapa "challenge" kidogo Chief.
Wu assassin kwa upande wangu sio nzuri kwa jinsi wanavyochanganya maisha ya kawaida na maisha mengine ya kama duniani nyingine wangebaki mulemule story ingekuwa tamu. Embu angalia mzigo unaitwa WARRIOR ambao mtoto wa Bruce lee aitwaye Shannon Lee anaamua kuiweka idea ya baba ya kuja kuitengeneza hii series na ipo njema coz director ni jamaa aliyetengeneza baadhi ya movie ya series ya Fast and Furious. So ndo naiona ni moja ya tv shows kali ya mapigano kwa sasa inaendelea season 2 asa hivi kuliko iyo wu assassinTwendeni na WU Assassin kwanza halaf turuf hapa
Ngoja niipakue fasta nisi ihukumu kabla sijaionaWu assassin kwa upande wangu sio nzuri kwa jinsi wanavyochanganya maisha ya kawaida na maisha mengine ya kama duniani nyingine wangebaki mulemule story ingekuwa tamu. Embu angalia mzigo unaitwa WARRIOR ambao mtoto wa Bruce lee aitwaye Shannon Lee anaamua kuiweka idea ya baba ya kuja kuitengeneza hii series na ipo njema coz director ni jamaa aliyetengeneza baadhi ya movie ya series ya Fast and Furious. So ndo naiona ni moja ya tv shows kali ya mapigano kwa sasa inaendelea season 2 asa hivi kuliko iyo wu assassin
Ngoja niipakue fasta nisi ihukumu kabla sijaiona
Mbali na PB, unaweza kutaja shows zingine angalau 5 ulizowahi kuangalia?!NITAENDELEA KUIRUDIA PRISON BREAK MPAKA SIKU NAKUFA VINGINEVYO LABDA ITOKEE SERIES YA KUIFUNIKA AU KUIZIDI KABISA!!
SERIES NYINGINE ZOTE NI UTOPOLO TU!
Najuaa huwez kukosaUlijuaje mzee
View attachment 1615502
Nashukuru mkuu kwa kutambua hilo Lost is something elseKuna vinu bado hajaviona huyu...Hata mimi nilikuwaga na mtazamo kama wake ila kwa sasa hapana hasa baada yakuangalia kitu iliyoitwaga LOST.
Dah nimechelewa now ndio naitizama Revolution