Series (Special thread)

THE BLACKLIST season 2:
  1. kwa makadirio huyu raymond reddington atakuwa na utajiri wa kiasi gani, si kwa mizunguko hii.....
  2. wahalifu mfano wa Reddington kwenye hii dunia yetu wapo?
huyu fala simuelewi na nukuu zake za kibabe,
mchumi yeye,
mwanafilosofi yeye,
daktari yeye,
mwanahistoria yeye
lobbyist yeye

hawa ndio majasusi bwanaa si Membe na wenzake
 
Mzee Reddington mjanja mjanja yule, kila kitu anakijua yeye
 
Hahahaha uzuri wa blacklist lazima uumize kichwa sasa hapo Ni trailer hujafika S06 huko ndo utazidi kuchanganyikiwa zaidi kumjua Reddington ni Nan?
 
Yeah! Mzee hii biashara ina hela Ila disadvantages yake ndo iyo.
Kuna vitu viwili viliniuma aisee ni yule mwanae aliyekufa pale kwenye bustani wkti walipowekewa mtego na yule demu wake mtoto wa polisi aisee demu alibadilika na kupotea
 
Mimi huyo demu wake ndio aliniuma zaidi mzee, mtoto alikuwa wa ukweli halaf anamuelewa kinoma Franklin..
Yule mwanae alianza kuzingua ni bora walimpunguza mapema
Mwanae wa ukweli ni yule mwenye afro
 
huu mzigo naupata wapi? nimeingia pale 1337.to season moja 6GB nikakata tamaa
 
Mimi huyo demu wake ndio aliniuma zaidi mzee, mtoto alikuwa wa ukweli halaf anamuelewa kinoma Franklin..
Yule mwanae alianza kuzingua ni bora walimpunguza mapema
Mwanae wa ukweli ni yule mwenye afro
Yeah! Mtoto alikua mkali yule hadi noma.
Kuhusu yule mchizi wao Franklin hkutaka washkaji zake wafe bali wote watoboe sema tamaa tu jamaa ilimponza na Mimi nilikua napenda mbwembwe zake tu mule.
Yule mwenye Afro alichange na kua na roho mbaya balaa.
 
Sana mzee, ilikuwa ni bora u mess up na Franklin ila sio huyo dogo mwenyewe afro

Umeicheki Animal Kingdom?
 
Napenda sana season za Action kama Into the badlands. Nimejaribu kuangalia Season kama ya Into the badlands nimekosa kabisa. Watu wamesifia Breaking Bad, 24, Hanna lakina hazijanivutia kabisa. Story nyingi kuliko ngumi. Banshee kidogo ila story nyingi pamoja na ngono.
Katika Season niliyoielewa mpaka keshokutwa ni INTO THE BADLANDS. Maneno mawili, ngumi zinaanza. Season zingine ni uharibifu wa bundle tu. Kama Hanna, Breaking Bad, 24, na Banshee kwangu ni uharibifu wa bundle tu.
Season gani yenye ngumi kama into the badlands?
Yah! Na uzuri zote nimeona iyo Hanna Ni nzuri pia so hutojuta
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…