Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Umeelezea vizuri mkuu na kitu kinachofanya niipende hii seriesuzuri ni kila season imejaribu kuangazia zaidi muelekeo wa siasa za kimagharibi..
- vita ya ugaidi
- mapambano ya kukwapua rasilimali kwa mataifa masikini kwa kujificha kwenye mwamvuli wa kupigania demokrasia
blacklist ilinishinda, yule mzee akili nyingi Raymond Reddington amekuwa kama steringi wa kihindi (nyimbo zote nzuri anaimba yeye)Corona mkuu imeharibu ratiba nyingi za series maana kuna series zingine kama the blacklist s07 episode ya mwisho wamechanganya na animation ilimradi mzigo uishe
Hichi kitu kilisababisha nisiendelee kuangalia hii series piah hamna mission ngumu yaan mission zote RED anazifanya zinakua nyepes sanablacklist ilinishinda, yule mzee akili nyingi Raymond Reddington amekuwa kama steringi wa kihindi (nyimbo zote nzuri anaimba yeye)
upo sahihi....sijui huko mbeleni iliendeleajeHichi kitu kilisababisha nisiendelee kuangalia hii series piah hamna mission ngumu yaan mission zote RED anazifanya zinakua nyepes sana
Season 2 mwenyewe sikuipendaSema kusema ukweli season 1 ni kali sana kuliko hata 2( kwa maoni yangu) naona imekaa kisiasa sana
Kweli kabisa ile one ni hatari sana.Season 2 mwenyewe sikuipenda
Ni mzuri pia,ninachopenda ni ngumu kumuelewa yule mchizi,kuna kipindi unakuwa na doubts naye,lakini pia kuna time unaanza kumwamini."Messiah"
Anhaa! Siku zote naheshimu maoni ya mtu Ila ukitaja blacklist kama umeangalia mwanzo basi huwezi elewa maana hapo umeandika yule ni Raymond Reddington lakini yule sio Raymond Reddington na hajulikani ni nani?, Na kwanini anashirikiana na baba yake Katarina Rostova ambaye baadae anarudi kutoka mafichoni na mission zote anafanya kutanua empire yake lakini kuna zingine zinafail Sasa utasemaje ni kama sterling wa kihindi?blacklist ilinishinda, yule mzee akili nyingi Raymond Reddington amekuwa kama steringi wa kihindi (nyimbo zote nzuri anaimba yeye)
Basi hukuelewa iyo series man yule Red anawapa mission wale FBI ili yeye mambo yake yaende na ukichunguza baade zile missions nyingi alikua anaua competitors wake kama yule aliyegundua mifupa ya Reddington mwenyewe, missions za kukuza empire yake na kujua ukweli na mwisho wa siku wale watu waliokua wakikamatwa anawachukua kutimiza lengo lake ambalo halijulikani hadi Sasa.upo sahihi....sijui huko mbeleni iliendeleaje
Kumbe uliichungulia ila hukuiangalia seriesupo sahihi....sijui huko mbeleni iliendeleaje
ebwana weeee kumbe jamaa ni fyekeroAnhaa! Siku zote naheshimu maoni ya mtu Ila ukitaja blacklist kama umeangalia mwanzo basi huwezi elewa maana hapo umeandika yule ni Raymond Reddington lakini yule sio Raymond Reddington na hajulikani ni nani?, Na kwanini anashirikiana na baba yake Katarina Rostova ambaye baadae anarudi kutoka mafichoni na mission zote anafanya kutanua empire yake lakini kuna zingine zinafail Sasa utasemaje ni kama sterling wa kihindi?
niliangalia mpaka pale anapomuua baba yake yule binti anayependa kufanya naye missionKumbe uliichungulia ila hukuiangalia series
Hii nmeanza episode ya kwanza naona maruerueTunasubiri Dark season 3 wikiend hii
First German Netflix series
Kama bado hauja iangalia itafuteView attachment 1488771
Inakaugumu flani kuuelewaHii nmeanza episode ya kwanza naona maruerue
Izo ni series nzuri Ila kuna watu wanaponda asa iyo peaky blinders Ila tu ni vile anataka vitu gani viwepo kwenye series yake na ndo maana kuna genres tofauti tofauti ili kila mtu apende atakacho huwezi amini hapa naangalia The walking dead season 10 na pia hii watu waliangalia hii wakasema inaua mazombi tu lkni iyo sio kilichomo humo ni kuuana wenyewe kwa wenyewe kwenye kugombea vyakula na makazi kuliko kupambana na mazombiau ukutane na series zenye kuangazia ndani yake maisha ya gypsy kama:
ni mwendo wa vurugu
- peaky blinders
- gangs of london
Huyu jamaa alikuwa kwenye siries ya the wireKama hujaiona Jackryan itafute..View attachment 1492739
Hii series hainaga muda maalum wa kutoka ukitaka kujua angalia muda wa kuachiwa tangia s01 hadi ya 3Kuna mwenye updates za orzak season 4?View attachment 1492652