D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
season 2 hadithi yake inahamia mitaa ya VenezuelaNiko naangalia season 1 ndio na malizia ndio maana niliomba msaada wa link season 2 π series iliyo na vita Waarabu na wamarekani au Waarabu na watu wengine huwa nazienjoy sana π₯
Kitawaka huko leo usiku nashusha season 2 yote ubaya nitamaliza haraka sana alafu hiyo ya 3 sijui inakuja lini?season 2 hadithi yake inahamia mitaa ya Venezuela
ok, kila la kheri......Kitawaka huko leo usiku nashusha season 2 yote ubaya nitamaliza haraka sana alafu hiyo ya 3 sijui inakuja lini?
Shukurani mzee wanguNajua ushakua Teja wa Jack Ryan mzee haya enjoy season 2 maana kinanuka uko Venezuela.
Download Tom Clancys Jack Ryan S02 Season 02 Complete 720p WEB-DL x264 (nItRo)-XpoZ Torrent | 1337x
Tyrantok, kila la kheri......
unafahamu project nyengine zenye maudhui kama ya jack ryan?
Siwezi kusema chochote mpaka niangalie season 2 nitaleta mrejesho wangu baada ya kuangalia hiko kimeo cha pili.Sema kusema ukweli season 1 ni kali sana kuliko hata 2( kwa maoni yangu) naona imekaa kisiasa sana
uzuri ni kila season imejaribu kuangazia zaidi muelekeo wa siasa za kimagharibi..Sema kusema ukweli season 1 ni kali sana kuliko hata 2( kwa maoni yangu) naona imekaa kisiasa sana
Poa poa enjoySiwezi kusema chochote mpaka niangalie season 2 nitaleta mrejesho wangu baada ya kuangalia hiko kimeo cha pili.
Yani wakikutana hao watu Waarabu na wamarekaniPoa poa enjoy
Mi nikishaona waarabu vs wamarekani najua hili n dude kali
Hakika kabisaYani wakikutana hao watu Waarabu na wamarekanifanya shughuli zako maliza funga na mlango kabisa wa ghetto asitoke mtu yeyote akakusumbua kabisa unapoangalia.
au ukutane na series zenye kuangazia ndani yake maisha ya gypsy kama:Yani wakikutana hao watu Waarabu na wamarekanifanya shughuli zako maliza funga na mlango kabisa wa ghetto asitoke mtu yeyote akakusumbua kabisa unapoangalia.
au ukutane na series zenye kuangazia ndani yake maisha ya gypsy kama:
ni mwendo wa vurugu
- peaky blinders
- gangs of london
Napataga shida sana napomsikia mtu anaita Series kuwa ni Season.
Uko sawa kiongozi, nadhani nilisoma haraka ingawa hiyo shida ipo sana mitaani ya kuswich hayo maneno.eg
- "Season" is usually used to refer to just the episodes that air in one year or program run
- "Series" is used for the whole show no matter how long it runs.
jack ryan (series) season 1 and 2.
sijui kosa langu liko wapi
Inahusu nin mzee!Kuna Series watu hawaitaji taji ya Colony
Ni series moja kali sana
Inahusu nin mzee!
Corona mkuu imeharibu ratiba nyingi za series maana kuna series zingine kama the blacklist s07 episode ya mwisho wamechanganya na animation ilimradi mzigo uisheany news kuhusiana na muendelezo wa season 3 yake?