Series (Special thread)

Series zoote zitakuja kuhusu anti terrorism lakini kwa strike back zitakaa na kusubiri. Wale jamaa hawana maongezi mengi. Ni chuma chuma. Gun zinapigwa sio kitoto. Series nyingine unakuta ni story kama episod 2 mfululizo afu ikija action ni ya dakika 8.
Emu wadau tutajiane series zenye hadhi ya STRIKE BACK. Mimi napenda sana action, though uwezo mkubwa wa kusikiliza strategic story kwenye ant terrorism nazo napenda na ninao.
 

Ukweli ni kwamba STRIKE BACK ni series ya kawaida sana

Wewe unapenda mabunduki ndo kinachokufanya uone ni kali

Ila kiukweli ni ya kawaida mno tena sana

Unapoongelea anti-terrorism basi iongelee 24 iongelee hiyo jack ryan pia japo ni ya kawaida ila nzuri kuliko strike back
 
Huo ni wako mtizamo nenda kaangalie imdb ratings.
Tusubiri wajuvi wengine waje.
 
Kweli strike ilinishinda Ni series ya kitoto..mabunduki bila story ya maana..
 
Kweli strike ilinishinda Ni series ya kitoto..mabunduki bila story ya maana..
Usitake niambia strike back inahitaji focus sana na utulivu. Inaonekana ulikosa kabisa hata chembe ya focus na utilivu. Try again ma men.... utaona jamaa series imepangwa ile ikapangika. Tukio baada ya tukio tena kwa mfuatano mzuri. Nimejaribu kuziona series nyingine za action kwa kweli sio kwamba ni mbaya ila zinahitaji sana focus na utulivu utadhani upo kwenye pindi la STEREO ORGANIC CHEMISTRY au THEORY OF RELATIVITY. Enjoy series sio kama vile upo umepewa assignment ya kufanya
 
Vipi kuhusu zinazo "promote" mapenzi ya jinsia tofauti? Hizo hazina shida!??

Hivi huwa wana "promote"?

Ku "promote" maana yake nini?
 
Utawaweza hawa watanganyika kwa unafiki.

Ni kama vile huko Tanganyika huwa hakuna mashoga wakati yapo yamejaa kila kona!

Na kazi ya fasihi ni kueleza yale yaliyopo kwenye jamii.

Watanganyika wamekuja na msamiati mpya kwamba series zina "promote" ushoga!! Sijui hata ku "promote" maana yake ni nini!

Mbona sikusikia malalamiko kwamba series hizo hizo zina "promote" mapenzi ya jinsia tofauti?

Filamu za wazungu zimejaa ngono za kila aina! Lakini kwenye ushoga ndipo pana "promotion".

Una "promote" nini kitu ambacho kipo kwenye jamii?

Promote???!!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli kabisa Ni rahisi kueleweka lakini..sio fikirishi
 
gangs of london ni bonge moja ya series unaweza ukaiweka kundi moja na treadstone series

Siku niliyodownload hii series nikasema ngoja niangalie episode moja alafu nilale asee nikajikuta nimekesha nikamaliza yote maana kila episode moja inavyoisha ndivyo nyingine inakupa hamasa ya kuangalia nyingine
 
Siku niliyodownload hii series nikasema ngoja niangalie episode moja alafu nilale asee nikajikuta nimekesha nikamaliza yote maana kila episode moja inavyoisha ndivyo nyingine inakupa hamasa ya kuangalia nyingine
harafu the 1st episode ni the longest episode 1 hr 26 mins.
 
Black Crows..

Wapenda Series Za Persians/Arabs Za Ubabe Sana Mzigo Huo Unasikitisha Sana na Ukatili Wa Kibabe Sana Kama Unaweza Mudu Roho Ngumu Tembea Nayoo

Hii Kama FAUDA Fulani Sema Humo Ubabe na Ukatili Umezidi

Inaelezea Sana IS Na Shughuli Zake Kuanzia Recruitment , Operations na Miongozo Yao Pia Mwanamke Ananafasi Ipi Kwenye IS


Ipo Complete Season 1 Episode 30
 
Telegram naona za Kiarabu na Ki-hebrew, ya kiingereza umepakua wp?
 
Mzee baba, we bwabwa?
 
Nitaitafuta hii maana series ya Fauda ni series unique I hope na hii haitaniangusha.
Sema nimeitafuta Wikipedia kwa jina ilo kumbe ina jina maarufu la Gharabeeb soud
 
Siku niliyodownload hii series nikasema ngoja niangalie episode moja alafu nilale asee nikajikuta nimekesha nikamaliza yote maana kila episode moja inavyoisha ndivyo nyingine inakupa hamasa ya kuangalia nyingine
Bonge la series iyo na ina story tofauti Sana kama yule mchizi Elliot kacheza sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…