Huu ukioandika ndio upupu wenye kiwango cha KilazaKabla hujaangalia Series na kucoment UPUPU inabidi ujue wewe unapenda Series/movie za Genre ipi...
Tatizo mmezoea Series za Sci-fi na Action, siku mkikutana na Drama au mystery VIPOVU vinawatoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni series gan mkuu?
ngoja tusubiri season 4
Westworldhii ni series gan mkuu?
Basi hata mfano huo huujui umetokeaje basi haina haja ya kubishana na wewe bado sana kwenye ulimwengu wa movie na seriesMkuu mimi sio mpenz wa series za kikorea nazo siziwezi ila hiyo series mnaipa sana promo kwa wazee wa movie tuiskia tunajua bonge la dude lakini bado ngoja niangalie season2 nisihukum mapema.na matukio hayana uhalis mfano pale alipofata hela zake alizozulumiwa dogo anachukua punje moja anaitupa inalipuka kama bom mpaka meza zinatokea dirishani halafu yeye anatoka mzima na walokuwemo.
Safi mkuu series ni kutulia mzee na nashukuru umenielewa kwa kufuata ushauri wangu.... Ozark ni series haina ngumi ila drama zake si za kitotoMkuu... Ozark ni hatari ile kitu,kuna siku uliiongelea hapa, nikasema Ozark imepoa, ukaniuliza imepoa kivipi? Mbona iko poa tu.... Juzi kati nmeanza nayo tena.. Sasa hivi nipo ya tatu... Yale mambo ya Kwenye Ozark ni uhalisia mtupu aisee... Ile familia ina balaa lake
Bonge la mzigo!!!
Kweli mzee kama nilipoishia iyo seasons ya 3 mwishoni si kawachomesha ndugu zake wote kwa mapolisi so iyo ya 4 na 5 sijui itakuwaje aisee je watamchukia na kupanga kumuua au watakubaliana na plans zake?Peaky Blinders ni "kitu" mzee wa kazi. Ni moja kati ya TV Series kali kabisa nilizowahi kuzitazama.
Aisee hii nimepewa story na mwanangu nikaitafuta sanaa kwenye majiko yangu nikaja kuipata ikiwa na speed ndogo kuishusha ila nitaishusha tu mdogo mdogo huku naimalizia Gangs of LondonBasi embu ishushe ingobernable alafu utanipa mrejesho
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
Hiyo ganz of london nimeidownload ila tatizo bado sijaicheki si ina season moja tuu au?Aisee hii nimepewa story na mwanangu nikaitafuta sanaa kwenye majiko yangu nikaja kuipata ikiwa na speed ndogo kuishusha ila nitaishusha tu mdogo mdogo huku naimalizia Gangs of London
ila nasikua ushoga mwingHiyo ganz of london nimeidownload ila tatizo bado sijaicheki si ina season moja tuu au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Mzee ipo season 1 tuHiyo ganz of london nimeidownload ila tatizo bado sijaicheki si ina season moja tuu au?
Sent using Jamii Forums mobile app
pahe.phWakuu mwenye link ya Fauda s3 yenye subtitle ya kiinglish naiomba pls mana nakutana na Sub za ki-hebrew tu.
Sio season ya 2 bali episode ya 2 😄😄
Mimi nilishusha kwenye link hii usiogope jina ina subtitles ya EnglishWakuu mwenye link ya Fauda s3 yenye subtitle ya kiinglish naiomba pls mana nakutana na Sub za ki-hebrew tu.
Shukrani sana mkuu.
Salute mkuu.Mimi nilishusha kwenye link hii usiogope jina ina subtitles ya English
https://katcr.co/torrent/3654135/fauda-s03-complete-hebrew-720p-webrip-x264-galaxytv.html