Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Mkuu Peaky blinders wamotomo inahitaji utulivu japo s3 wengi inawachosha ila S4 na S5 inarudi vizuri sanaPeaky blinder hawez kuwa top 3 , ya kawaida sna na haieleweki haina msisimko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwente list yako zote nimezicheki kasoro The handmaids tale, ozark, fago na The kilings.
Ongezea
Better call soul, ina actors wengi wa breaking bad, wametumia mjina na roles zilezile za kwenye breaking bad.
Picky blinders hii nimpya ila ishafika season 4 ukichek lazima uiweke kwenye top 3 zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilianza kuangalia jumapili niliofika ep 02 sehemu ile nikazima na kufanya shughuli nyingine, ninazo Ep zote 9 ila sina hamu, kama hakuna tena nitazimaliziaHalaf ni sehem ile ile tu,nilianza kuogopa labda mbelen kutakua balaa zaid lakin waliishia pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo mwingine huu hapa, bado mpya kabsa.. Ep 5 hadi sasaView attachment 1434570
tumia hata telegram series kibao utazikuta hukoWakuu site nzuri ya kudonload series
Inaendelea mpaka season 8 ila characters walibadilika.Wakuu kwa waliowahi kuangalia series ya Strike Back, naomba kujua kuna season inayoendelea baada ya 5
Iris ni kali sana Mzee moja ya series zangu bora za kikoreaWashkaj kwmb hata hamja ikubali ATHENA na IRIS ?
Homeland inanoga kwanzia season ya ngapi wakuu, nipo season 2 bado imepoa sana, nakaribia kuiacha!
Sent from my iPhone using Tapatalk