Tafuta episode ambayo Berlin alienda kukutana na Gavana as a Consultant kisha angalia hadi ile scene ya kutokea mlipuko na Gavana kukimbiziwa sehemu ya salama.Panic room haiko pale kwenye mlango wa Governor kulikuwa na armory tu ya silaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Gangs of london na iruka ruka tu kumbe kituTuachane na yaliyopita tusubiri season ijayo ila kwa sasa sasa twendeni na
Gangs Of London
Defending Jacob
Mtarudi kunipa mkono hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
oi kwamba strike back mission zimekuwa za kiboya au haina mzuka kivip?Miendelezo ambayo Haina mzuka
Homeland season 8
Manifest season 2
Better call Saul 5
Strike back season 8
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeikosa huna link yake?Itafute huko kwenye torrents site utaipata tu, jaribu piratesbay au 1337X unaweza kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko njema hiiWakuu ule mzigo hatari wa Ozark season 3 hawajaangalia tatizo la Corona Wala nin umeshushwa wote ukiwa na episodes zote 10.
Kama hujaiona itafute kuanzia season 1 hautajuta maana humu Bateman kawa mwingine kabisa hadi utashangaa ni huyu comedian ama namfananisha
Wale wa The Last Kingdom S4
Leo ndio episode 1 inakuwa released
Peaky blinder hawez kuwa top 3 , ya kawaida sna na haieleweki haina msisimkoKwente list yako zote nimezicheki kasoro The handmaids tale, ozark, fago na The kilings.
Ongezea
Better call soul, ina actors wengi wa breaking bad, wametumia mjina na roles zilezile za kwenye breaking bad.
Picky blinders hii nimpya ila ishafika season 4 ukichek lazima uiweke kwenye top 3 zako
Sent using Jamii Forums mobile app
mzigo umeachiwa complete mzeeWale wa The Last Kingdom S4
Leo ndio episode 1 inakuwa released
Yap nimeona Netflix Nawaelewa huwa wanaachia mzigo full.
Nimeona kamanda navutia kasi nipakue night