leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
RuthlessKwa anae fahamu series nzuri za love story like if living you is wrong, Banshee nk. Aweke list hapa kwasasa na wish ku watch series zisizo umiza kichwa sana.
Watu wengi sana walioanza kuiangalia 24 au wanaopenda action huwa wanapata tabu sana kuangalia series za stori mingi mingiTatizo hii imepoa sana,ila ni series nzuri
Ozark nilianza kuiangalia nikaona imepoa sana, nimeiweka kiporo... Breaking bad ni kali mkuu, sema inahitaj uvumilivu kidogo mwanzo imepoaWatu wengi sana walioanza kuiangalia 24 au wanaopenda action huwa wanapata tabu sana kuangalia series za stori mingi mingi
Ozark ina bonge moja la stori mfano wa breaking bad
Mkuu komaa nayo tu utaielewaOzark nilianza kuiangalia nikaona imepoa sana, nimeiweka kiporo... Breaking bad ni kali mkuu, sema inahitaj uvumilivu kidogo mwanzo imepoa
mkuu unaweza nitumia link ya if loving u is wronhKwa anae fahamu series nzuri za love story like if living you is wrong, Banshee nk. Aweke list hapa kwasasa na wish ku watch series zisizo umiza kichwa sana.
Poa poa mkuu, acha nianze nayo upya tenaMkuu komaa nayo tu utaielewa
Huko mbele utafurahi na roho yako jinsi kuanzia Marty mwenyewe , mkewe na mtoto wao wa kiume watakavyokua mamafia
Sio kweli 😂😂😂
search 02tvseries utaikutaWakuu msaada wa into the bad land series tamu sana, mwenye link naomben tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kuna mtu yupo dodoma hapa mjini tubadilishane movie/series??
Shukrani sana hapa ni mwendo wa bando la halotel na external iwe na space tu.Ruthless
the haves and the have not
The Oval
Sistas
Ambition
Queen Sugar
Greanleaf
Cherish the day
For life
check na hizo pia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu binafsi nilikomaa mno lakini sikubahatika kuipata yote. Nilikuja kubahatisha kwenye external ya jamaa angu nikai copy.mkuu unaweza nitumia link ya if loving u is wronh