Series (Special thread)

Nilijaribu kuanngalia the blacklist ikanishinda niliiona Kama haiko kiuhalisi, iko Kama mchezo wakuigiza,, kwaambaye hajawai kuiangalia siries inaitwa Dexter na mshauri aangalie kipindi hiki cha karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
Series ambayo ni ya kweli ni reality shows hizi zote zingine ni maigizo that why kuna actor and actress na pia usifananishe Dexter na blacklist coz the blacklist ipo juu man kwenye kila idara labda uniambie watu kusex na kukaa uchi ndo Dexter imeizidi blacklist
 
Wakuu ule mzigo hatari wa Ozark season 3 hawajaangalia tatizo la Corona Wala nin umeshushwa wote ukiwa na episodes zote 10.
Kama hujaiona itafute kuanzia season 1 hautajuta maana humu Bateman kawa mwingine kabisa hadi utashangaa ni huyu comedian ama namfananisha
 

Attachments

  • Screenshot_20200402-094700.png
    201.7 KB · Views: 14
Mzee wa kutakatisha mpunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hii imepoa sana,ila ni series nzuri
 
Ndiyo nashusha season 1 kwa mwongozo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…