Series (Special thread)

Kwente list yako zote nimezicheki kasoro The handmaids tale, ozark, fago na The kilings.
Ongezea
Better call soul, ina actors wengi wa breaking bad, wametumia mjina na roles zilezile za kwenye breaking bad.

Picky blinders hii nimpya ila ishafika season 4 ukichek lazima uiweke kwenye top 3 zako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh,hiyo "The americans" nimeangalia episode 5 naona imepoa sana!Naona kama haina story ya kueleweka!
Seems unapenda sana mambo ya assault ambayo kwenye Real Spy Stuff, sio rahisi kuyakuta!!
 
Naomba link ya kushusha Homeland, nisogeze wikendi

Sent using my Audi A6
2017 model
 
Io breaking bad mnaipaisha sana kuliko ilivo yenyewe...huwez ikinganisha na 24 ama preason break...
Io fargo sasa
iko kawaida sana

Sent using Redmi7
Itakuwa uliangalia episode 2 ukaiacha
Ila breaking bad ndo series namba moja hapa duniani sijajua kwa ulimwengun kama kuna sayari nyingine inatengeneza movies kama duniani .ila kama hamna nadiriki kusema "breaking bad is the best series at our Universe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu kuanngalia the blacklist ikanishinda niliiona Kama haiko kiuhalisi, iko Kama mchezo wakuigiza,, kwaambaye hajawai kuiangalia siries inaitwa Dexter na mshauri aangalie kipindi hiki cha karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu kuanngalia the blacklist ikanishinda niliiona Kama haiko kiuhalisi, iko Kama mchezo wakuigiza,, kwaambaye hajawai kuiangalia siries inaitwa Dexter na mshauri aangalie kipindi hiki cha karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama money Heist tu.hizo ni series za kuangalia wakati ukisubiria series halisi zitoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu bado anabishana na Breaking Bad
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…