Umeshaangalia 24?Iangalie hutojutia!
Mkuu angalia,unapoambiwa 24 maana yake ni 24 hours kweli,ndio maana kila episode ikianza unaambiwa "the following takes place between ... and ... , events occur in real time"hii series inasifiwa ila kila niki ipeleka mbele naona giza giza tu
kwani series nzima wali igiza mida yenye giza na mwanga hafifu?
napenda series zenye mchanganyiko wa hali ya hewa,asubuhi,mchana,usiku
sasa hii 24 naona imejaa weus weus kila episode nahisi itanishinda kama.
Mission zimefanywa simple ni wewe na mtazamo wako lakini sio kwa mtu mwingine na kuhusu kuweka risasi pembeni ili apigane ni kuonyesha uwezo tu wa mtu ni sawasawa na kusema kwenye mtihani wa math linakuja swali mtu mmoja anapata jibu kwa solution moja tu ila kuna kichwa kingine cha math swali ilo ilo anasolve kwa njia mbili na zote anaziandika zote kwenye answer sheets. So tunarudi palepale unachopenda wewe sio wengine wanapenda iko kitu na ukisema 24 series haijapondwa nitakushangaa sana na kukuona kama mtu usiyejua tv shows bali ni mshabiki wa kile ulichokiona wewe na wengine waamini iko iko maana hata hujui 24 series inapondwa kichizi Kama unabisha ingia link hii 24 (TV Series 2001–2010) - IMDb. Ndo utaona wewe ulikua unaangalia series tu hata haufikirii kama hapa kuna makosa au sio.Mkuu kama uliangalia episodes 2 ukatupa basi hujafaidi kabisaaa!
Strike back haina story kabisa,nimeangalia season 1 na sasa nimeanza season 2!Yaani ni risasi tu,mission zimefanywa kuwa simple sana!Yaani kila episode,more than 75% ni mapambano ya risasi!
Halafu kila muda inaonekana wanajua adui yuko wapi,hata akitoroka unakuta wanajua hapo hapo na wanaelekea eneo aliko,risasi zinaamza upya!
Pia nimeshangazwa na kisa kimoja,eti jamaa ana bunduki halafu yuko kwenye mapambano na adui,adui tayari ameishiwa risasi halafu eti jamaa linaweka bunduki pembeni ili wapambane kwa ngumi!Daah nilivyofika hapo nikasema,shiiit!
😆😆😆😆 Sema wewe man maana nikisema mim mwonekano naponda na ukitaka kucheka nenda kwenye hii link 24 (TV Series 2001–2010) - IMDbhii series inasifiwa ila kila niki ipeleka mbele naona giza giza tu
kwani series nzima wali igiza mida yenye giza na mwanga hafifu?
napenda series zenye mchanganyiko wa hali ya hewa,asubuhi,mchana,usiku
sasa hii 24 naona imejaa weus weus kila episode nahisi itanishinda kama.
Sorry nakupinga kwamba series kali nzuri zimetoka miaka ya 2007 kurudi nyuma sio kweli maana series zote izo juu nimeziona kuanzia season 1 hadi ya mwisho kasoro iyo 24 ndo nimeangalia episodes 2 na prison break sikumaliza baada ya kugundua Michael Ni shoga nikaona sio nzuri kwa upande wangu so ukitaka kujua the best series mpaka leo ni ipi kwenye category ya drama action tv shows na ambayo imeuza kupita izo juu ulizotaja ni Game of thrones ndo inayoongoza man kwa kila kitu kuanzia viewers, gharama hadi mauzo Alafu nyingine inayofuata kwa kupendwa ni breaking bad wewe Google tu utanipa jawabu.Huwezi kufananisha strike back na 24
Haiwezekani 24 ni moto ule na ukiachana na breaking bad hakuna kitu kikali kama kile na hakitakuwepo mkuu
Kama hujaangalia 24 angali
Strike back nimeangalia pia ila ya kawaida sana.
Pamoja na hizo zote ni kwamba mtu akiwa mzuri majority watamkubali hata mwenyewe angalia majority.
24 is next level mzee acha kabisa
Yaani unaangalia epsode mbili tu unasema hakuna kitu haupo serious
Kama uliangalia serious za kuanzia 2007 kurudi nyuma utakubaliana na mm now day hakuna mawe
Prison break
24
Lost
Breaking bad
Na zingine ni bouma achana na mastrike back hayo
Mkuu kutupa bunduki ili mpigane kwa mkono kwenye movies na series mbona ipo sana
Tafsiri yake ni kwamba adui anataka asionekana kakuonea kwahiyo anatupa bunduki ili muwe sawa.
Mkuu angalia,unapoambiwa 24 maana yake ni 24 hours kweli,ndio maana kila episode ikianza unaambiwa "the following takes place between ... and ... , events occur in real time"
Yaani season moja ina episodes 24,maana yake ni matukio yaliyotokea masaa 24!So kila episode inamaana ya saa!
So episode ya kwanza kama ni saa 3 asubuhi,episode ya pili itakuwa saa 4 asubuhi na kuendelea!
Bonge moja la kitu!We anza tu na season 1 episode 1,usiwe na haraka ya kurusha mbele!Ukimaliza nenda ya pili,utashangaa utakavyo gain momentum,unaweza sahau hata kula!Nilishawahi kukesha nayi kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 3 asubuhi!
hii series inasifiwa ila kila niki ipeleka mbele naona giza giza tu
kwani series nzima wali igiza mida yenye giza na mwanga hafifu?
napenda series zenye mchanganyiko wa hali ya hewa,asubuhi,mchana,usiku
sasa hii 24 naona imejaa weus weus kila episode nahisi itanishinda kama.
Sorry nakupinga kwamba series kali nzuri zimetoka miaka ya 2007 kurudi nyuma sio kweli maana series zote izo juu nimeziona kuanzia season 1 hadi ya mwisho kasoro iyo 24 ndo nimeangalia episodes 2 na prison break sikumaliza baada ya kugundua Michael Ni shoga nikaona sio nzuri kwa upande wangu so ukitaka kujua the best series mpaka leo ni ipi kwenye category ya drama action tv shows na ambayo imeuza kupita izo juu ulizotaja ni Game of thrones ndo inayoongoza man kwa kila kitu kuanzia viewers, gharama hadi mauzo Alafu nyingine inayofuata kwa kupendwa ni breaking bad wewe Google tu utanipa jawabu.
So mimi naendelea kushikilia msimamo ule ule series yako wewe bora kwa mwingine sio nzuri kwasababu tuko tofauti.
Tuje kwenye series ya prison break wakati Michael Schofield anachorwa tatoo mwili mzima za kumuonesha his next move Basi asa ivi kitu kinachosubiriwa kwa hamu ni money heist ya Le professor huyo mtu ni genius na plans anachora yeye kichwani. So hapo nakupinga man kwamba series za mwaka 2007 kurudi ni kali iyo ni upande wako wewe
Hatubishani,tunapeana nini kilichomo kwenye series ili basi kwa mtu ambaye hajatazama basi apate mwanga!Mission zimefanywa simple ni wewe na mtazamo wako lakini sio kwa mtu mwingine na kuhusu kuweka risasi pembeni ili apigane ni kuonyesha uwezo tu wa mtu ni sawasawa na kusema kwenye mtihani wa math linakuja swali mtu mmoja anapata jibu kwa solution moja tu ila kuna kichwa kingine cha math swali ilo ilo anasolve kwa njia mbili na zote anaziandika zote kwenye answer sheets. So tunarudi palepale unachopenda wewe sio wengine wanapenda iko kitu na ukisema 24 series haijapondwa nitakushangaa sana na kukuona kama mtu usiyejua tv shows bali ni mshabiki wa kile ulichokiona wewe na wengine waamini iko iko maana hata hujui 24 series inapondwa kichizi Kama unabisha ingia link hii 24 (TV Series 2001–2010) - IMDb. Ndo utaona wewe ulikua unaangalia series tu hata haufikirii kama hapa kuna makosa au sio.
Nimeshamjibu hilo maana yeye hajaangalia!24 ni matukio yaliyotokea ndani ya masaa 24!Sasa unataka usiku wakufanyie uwe ni mchana?Episodes 12 daylight kwa maana ya saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni,Na episodes 12 usiku kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 12 asubuhi! Sasa hujaangalia series halafu unaponda na kusifia nyingine ambayo umeiona,haya ni maajabu!Mnakuwa hamuwasaidii ambao hawajaona!😆😆😆😆 Sema wewe man maana nikisema mim mwonekano naponda na ukitaka kucheka nenda kwenye hii link 24 (TV Series 2001–2010) - IMDb
Sorry nakupinga kwamba series kali nzuri zimetoka miaka ya 2007 kurudi nyuma sio kweli maana series zote izo juu nimeziona kuanzia season 1 hadi ya mwisho kasoro iyo 24 ndo nimeangalia episodes 2 na prison break sikumaliza baada ya kugundua Michael Ni shoga nikaona sio nzuri kwa upande wangu so ukitaka kujua the best series mpaka leo ni ipi kwenye category ya drama action tv shows na ambayo imeuza kupita izo juu ulizotaja ni Game of thrones ndo inayoongoza man kwa kila kitu kuanzia viewers, gharama hadi mauzo Alafu nyingine inayofuata kwa kupendwa ni breaking bad wewe Google tu utanipa jawabu.
So mimi naendelea kushikilia msimamo ule ule series yako wewe bora kwa mwingine sio nzuri kwasababu tuko tofauti.
Tuje kwenye series ya prison break wakati Michael Schofield anachorwa tatoo mwili mzima za kumuonesha his next move Basi asa ivi kitu kinachosubiriwa kwa hamu ni money heist ya Le professor huyo mtu ni genius na plans anachora yeye kichwani. So hapo nakupinga man kwamba series za mwaka 2007 kurudi ni kali iyo ni upande wako wewe
Kama hujaangalia wacha tuliongalia tuseme ubora wake!Na mimi nimeangalia zote,24 na strike back!Yaani nimejuta kudownload package nzima ya strike back!Mimi siwezi nikaa kupoteza muda kuangalia series ya 24 kama muendelezo unakua hivi
Naunga mkono hoja!Breaking bad,24,Prison break na Game of thrones mimi kwangu ni series bora kabisa!Ukweli ni kwamba quality ya 24 huwezi linganisha na hizi picha na movie za siku hizi
Kwa sasa ukianza kuangalia 24 itakuboa sana quality ya picha
Quality ya picha ya miaka sio sawa na ya leo elewa hilo
Money heist? Kwanza money heist iko overrated sana,
Movie yeyote star anajua kila kitu hiyo sio movies
Proffessor anajua kila kitu mpaka anapredict matukio yajayo anakuwa kama anafikiria katika vichwa vya watu ila in-future haipo
Ofcourse ni kweli series nzuri kwangu haiwezi kuwa nzuri kwa mwingine ila tunaangalia majority
Majority walioangalia series wanasemaje?
GOT sijaangali sipendi sana kitu kinachotangazwa na kila mtu
Mpaka sasa mnyama anaanza Breaking bad na 24 wengine ndo wanafuata.
Money Heist Pamoja na proffesor kujua kila kitu kuna matukio mengiUkweli ni kwamba quality ya 24 huwezi linganisha na hizi picha na movie za siku hizi
Kwa sasa ukianza kuangalia 24 itakuboa sana quality ya picha
Quality ya picha ya miaka sio sawa na ya leo elewa hilo
Money heist? Kwanza money heist iko overrated sana,
Movie yeyote star anajua kila kitu hiyo sio movies
Proffessor anajua kila kitu mpaka anapredict matukio yajayo anakuwa kama anafikiria katika vichwa vya watu ila in-future haipo
Ofcourse ni kweli series nzuri kwangu haiwezi kuwa nzuri kwa mwingine ila tunaangalia majority
Majority walioangalia series wanasemaje?
GOT sijaangali sipendi sana kitu kinachotangazwa na kila mtu
Mpaka sasa mnyama anaanza Breaking bad na 24 wengine ndo wanafuata.
Mimi alikuwa ananipa raha sana na muonekano wake pamoja na maneno yakeChloe yule demu Ana mnuno flani unafurahisha sana, mda wote anapenda kununa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika pumba man hivi ni mimi ndo ninayerank izo series man? Na viewers youtube nan kakwambia viewers wanapatikana youtube? Unazani izo ni kama nyimbo zenu za kibongo kwamba ubora unapatikana youtube? Alafu eti uuzwaji si sababu nani kakwambia watu wananunua vitu vibovu? Na kama ya series ya zamani huwezi fananisha ya sasa mbona breaking bad ni ya pili baada ya game of thrones?Series hujaangalia ila unakomaa humu kuiponda!Halafu uuzwaji sio sababu maana popullation ya leo si ile ya miaka 10 iliyopita!Ni sawa useme viewers youtube sasa kwenye youtube na miaka kumi iliyopita!Kuna baadhi ya nyimbo za diamond ambazo zimetoka sasa na zina viewers wengi kuliko zile za miaka 8 nyuma,haina maana zote ni bora kuliko zile za awali!Hata bajeti za sasa ni kubwa kuliko za huko nyuma!
Sasa kama kasoro ndogondogo why uponde series zingine mzee na wakati 24 kuna mda wanatumia plate number moja ya gari kwenye magari tofauti?Nimeshamjibu hilo maana yeye hajaangalia!24 ni matukio yaliyotokea ndani ya masaa 24!Sasa unataka usiku wakufanyie uwe ni mchana?Episodes 12 daylight kwa maana ya saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni,Na episodes 12 usiku kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 12 asubuhi! Sasa hujaangalia series halafu unaponda na kusifia nyingine ambayo umeiona,haya ni maajabu!Mnakuwa hamuwasaidii ambao hawajaona!
Kasoro ndogo ndogo huwa zipo kwa kila series,lakini mimi hapa ninachosema ni kwa kuwa strike back the whole series sucks maana hakuna balance kati ya story na mapigano!
Wapi hapo inaonyesha 24 is the best ever series zaidi ya kuchukua awards? Na ukitaka kuonyesha awards embu angalia Game of thrones hapo hapo Wikipedia na ukitaka kujua series hii ni bora angalia hadi waigizaji wameondoka na tuzo ngapi?Kuna watu wanabishana hadi na wikipedia. 24 itabaki kua the best series everView attachment 1380473
Sent using Jamii Forums mobile app