Asante mkuu!Ngoja nishushe mzigo!Sio kweli ina muendelezo man na pia hakuna series ambayo matukio yake yote yanaendelea kila episodes Kuna zingine zinaisha na kubaki zile zinazobeba title ya series yenyewe. Uzuri wa iyo series haichoshi so wewe shusha hata season 1 yote au Anza na episodes zako 5 alafu la hutojuta muda wa kupotezea mda wako
Asante mkuu!Ngoja nishushe mzigo!
ile mission ya kuiba dhahabu haikuwa plan yake labda kadakwaOoooh Professor kadakwa nn
"My name is Jack Bauer and thiz iz the longest day of my life..", "Mr. PRESIDENT its been an honor.."Kila season ina episodes 24 isipokuwa ya mwisho!Niliwahi kukesha nayo,yaani kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 3 asubuhi!Bonge moja la kitu!
Scene ambayo sitaisahau ni ile alivyogundua jasusi la kirussia linemeza chip ya simu yenye ushahid,Jack Baeur hakuwa na muda wa kupoteza!Alimchana tumbo na kuanza kutafuta hiyo chip kwenye utumbo mwembamba mpaka akaipata,daaaah hii series naweza kuirudia hata mara 10!"My name is Jack Bauer and thiz iz the longest day of my life..", "Mr. PRESIDENT its been an honor.."
Hii kitu hatari, kina tony almeida, chloe o brian, nina myers, magaidi kina Col.Ike Dubaku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ambacho 24 waliweza huwez kamwe kutabili tukio hata moja series ipo complicated sanaaaa nataman irudi Tena 24 legacy ilikuja lakn kuvaa viatu vya jack ndio kazi ipo"My name is Jack Bauer and thiz iz the longest day of my life..", "Mr. PRESIDENT its been an honor.."
Hii kitu hatari, kina tony almeida, chloe o brian, nina myers, magaidi kina Col.Ike Dubaku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jack hafai season 7 alimpa torture jamaa ikulu wakati huo huo anakesi ya kutumia torture kweny interrogation kitu ambacho ni kinyume na Sheria jamaa alikuwa mwehuu 🙂🙂🙂Scene ambayo sitaisahau ni ile alivyogundua jasusi la kirussia linemeza chip ya simu yenye ushahid,Jack Baeur hakuwa na muda wa kupoteza!Alimchana tumbo na kuanza kutafuta hiyo chip kwenye utumbo mwembamba mpaka akaipata,daaaah hii series naweza kuirudia hata mara 10!
Ngoja tusubil tuone atakuja na plan ipi El profesor
Jamaa noma sana!Jack hafai season 7 alimpa torture jamaa ikulu wakati huo huo anakesi ya kutumia torture kweny interrogation kitu ambacho ni kinyume na Sheria jamaa alikuwa mwehuu 🙂🙂🙂
Kitu ambacho 24 waliweza huwez kamwe kutabili tukio hata moja series ipo complicated sanaaaa nataman irudi Tena 24 legacy ilikuja lakn kuvaa viatu vya jack ndio kazi ipo
Moja Utofauti kati ya 24 na Strike Back
ni kwamba
24 ya Jack na akina Tony wao ni ktk majiji ndani ya USA
California, New York nadhani na DC
nadhani hata bajeti yao huenda ilikuwa ni kidogo tu ukilinganisha na Strike Back
wahusika wamekula bata kutembea nchi nyingi mno
hadi hapo Kenya walifika!
Bajeti yao sio mchezo unaona wanavyouvaa uhusika
akina Scott na Mike akina John Potter, n.k
zote ndizo series PEKEE nazozitazama na nilizonazo
ila Strike Back ina kitu cha utofauti kulinganisha na 24 Hrs
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukishaiona hyo intro balaa lake sio la kitoto"My name is Jack Bauer and thiz iz the longest day of my life..", "Mr. PRESIDENT its been an honor.."
Hii kitu hatari, kina tony almeida, chloe o brian, nina myers, magaidi kina Col.Ike Dubaku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila Season ndo ina story yake..Hiyo strike back ni muendelezo au kila episode ina mission yake?Mimi napenda series ya muendelezo!
Poa,asante!Kila Season ndo ina story yake..
Mf. Season 3 yote inakua na story take nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inafikia 24?