Series (Special thread)

Mwenye link wakuu asababishe bac nishushe mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app

Pia download app ya mega utafrahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliangaliaga mwisho season 3 nikaiacha, nimeona nianze na hii season8 episode1. Uzuri muda mwingine mission zake zinakua sio za kuendelea kwaio unaweza ukacheck tu nakuhisi hujapitwa kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliangaliaga mwisho season 3 nikaiacha, nimeona nianze na hii season8 episode1. Uzuri muda mwingine mission zake zinakua sio za kuendelea kwaio unaweza ukacheck tu nakuhisi hujapitwa kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh,inamaana strike back kila episode na mission mpya?Sio muendelezo kama 24?Mimi huwa napenda muendelezo,series ambayo kila episode inajitegemea inaboa,unakuwa unaanza kisa upya kama movie vile!
 
Hiyo strike back ni muendelezo au kila episode ina mission yake?Mimi napenda series ya muendelezo!
Sio kweli ina muendelezo man na pia hakuna series ambayo matukio yake yote yanaendelea kila episodes Kuna zingine zinaisha na kubaki zile zinazobeba title ya series yenyewe. Uzuri wa iyo series haichoshi so wewe shusha hata season 1 yote au Anza na episodes zako 5 alafu la hutojuta muda wa kupotezea mda wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…