ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 641
- 968
Shuka chini mpk uone app ya terrerium tvView attachment 1307686View attachment 1307688
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatoa tu ila u cannot avoid romance kwenye filamu za aina izo.Nimeicheki yote, yaani jinsi ilivyo tu haina genre zozote za romance mkuu. Ile mimi niliona ni drama ya kawaida. View attachment 1307168
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatoa tu ila u cannot avoid romance kwenye filamu za aina izo.
Jua romance ina maana gani mkuu? and then niambie haipo humo kwenye iyo series?
Deuce inahusu jinsi harakati za kuanzisha porno videos zilipoanza na jinsi changamoto Malaya wanaojiuza walivopitia miaka iyo nchini MarekaniThe deuce inahusu nini mkuu? Huwa naiona sana, nakuwa sina nayo muda.. ila jina lake limekaa poa sana
Sasa unarudi pale pale mim nilizan romance hakuna mzee.Uwepo wa romantic scene(s) haimaanishi kwamba hiyo movie au series unaiweka kwenye romance genre. Tofautisha romance as genre na romance as a scene. Hata movie za kivita zinakua na romantic or even adulty scenes lakini huwezi kuiweka kwenye category ya romance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu.. Inafaa kutizamika hiiDeuce inahusu jinsi harakati za kuanzisha porno videos zilipoanza na jinsi changamoto Malaya wanaojiuza walivopitia miaka iyo nchini Marekani
Sasa unarudi pale pale mim nilizan romance hakuna mzee.
Jamaa juu kataka series zenye romance so big little lies ina romantic scenes nyingi tu na hakutaka romance genre tu. So uccomplicate Mkuu
Heri ya mwaka mpya..ndugu zangu mwenye link ya viking season 6 na link pia see anisaidie please
Heri ya mwaka mpya..ndugu zangu mwenye link ya viking season 6 na link pia see anisaidie please
Nimegundua kwenye simu haina complications zozote mzee na nimeshusha top boy faster
O2tv series kulikon mbona awa post






Unapakua series o2tvseries?Quality haina ishu kwako???Wapo break.. Ukiangalia kuna series nyingi sana zimeenda break..kuanzia wiki ijayo zitaanza kurudi!!Wadau "The Blacklist" mbona wameacha kutoa episodes ghafla?ndo mwisho wa season 7 au vp
Sent using Jamii Forums mobile app