Series (Special thread)

Series (Special thread)

Angalia nmemaliza kupakua The Purge muda huu ss napakua kitu Treadstone mdogo mdogo....
Screenshot_20191218-104505.jpeg
Screenshot_20191218-104629.jpeg
Screenshot_20191218-104642.jpeg
Screenshot_20191218-104751.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Series yoyote yenye madragon naipuuza. ts only about taste nd preference simanisha kua GOT haifai

Sent using Jamii Forums mobile app
...Vikings ni treue story ...kila Character anayetokea ni potrait ya aliyekuwapo sio kama fiction ya GOT Sigurd Son of Ragnar,Hivtserk, Ubba ... ila waliofanikiwa zaidi ni Bjorn the Ironside na Ivar The Boneles ..,, ila GOT ni fictitious....mfano tunapeonda season 6 ..MTAFUTE prince Oleg prophet.. aliexist kipindi hichohicho ambachoIvar anafukuzwa na kaka yake Bjorn ambaye ndio ametengeneza na kuweka muundo wa utawala wa scandnavian coutries.
 
Nimemaliza kuangalia series ya YOU Haina kwichi kwichi wala nini maana huoni hata wakiwa naked sema ni bonge la series nimeipenda idea yake.

Sema naomba kujua hii site ya 0ztv series ni kwa ajili ya kuangalia kwenye simu tu maana haina quality nzuri ya HD ingawa zinaandaliwa HD?
 
Hello Guys,

Kwa mwenye Series ya 24 Season 1-9 na yupo Dar anijuze. Nikicheki kudownload itanitafuna bando la kutosha.
Msaada tafadhali
 
Nimemaliza kuangalia series ya YOU Haina kwichi kwichi wala nini maana huoni hata wakiwa naked sema ni bonge la series nimeipenda idea yake.

Sema naomba kujua hii site ya 0ztv series ni kwa ajili ya kuangalia kwenye simu tu maana haina quality nzuri ya HD ingawa zinaandaliwa HD?
Itafute app ya torrentvilla nadhan haipo playstore.. Ina quality nzur sana ya movie na tv series.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The deuce ipakue ila jipange maan ni kulana jwend mbele
Nimemaliza kuangalia series ya YOU Haina kwichi kwichi wala nini maana huoni hata wakiwa naked sema ni bonge la series nimeipenda idea yake.

Sema naomba kujua hii site ya 0ztv series ni kwa ajili ya kuangalia kwenye simu tu maana haina quality nzuri ya HD ingawa zinaandaliwa HD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom