Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna hizi must watch new n old
24 legacy
Mr robot (american)
Falling skies (the good one)
Rain
Battlestar galactica
Gang related
Grimm
Sex education (hot hot)
13 reasons why (noma sana)
Stranger things (perfect one)
Fear TWD
 
Kuna hizi must watch new n old
24 legacy
Mr robot (american)
Falling skies (the good one)
Rain
Battlestar galactica
Gang related
Grimm
Sex education (hot hot)
13 reasons why (noma sana)
Stranger things (perfect one)
Fear TWD
DENVER.jpg
DENVER.jpg
 
Aisee Mimi ya kwanza ni Homeland na ya pili ni 24hrs, mwenye kuzijua za mission ama za adventure anipe majina nizitafute ila ziwe Kali sio za kusababisha usingizi
 
Aisee Mimi ya kwanza ni Homeland na ya pili ni 24hrs, mwenye kuzijua za mission ama za adventure anipe majina nizitafute ila ziwe Kali sio za kusababisha usingizi
kupita kotee kwenye huu uzi umeshindwa kuzitafuta series ambazo zinazotajwa mara kwa mara
 
Angalia

The Americans

Condor

Jack Ryan

American Odyssey
Aisee Mimi ya kwanza ni Homeland na ya pili ni 24hrs, mwenye kuzijua za mission ama za adventure anipe majina nizitafute ila ziwe Kali sio za kusababisha usingizi
 
Hiv jaman terrerium inafanya kazi au imezimea tena kwa mara ya pili
 
Anza kuangalia. Itazingua kidogo kwenye mambo ya city of light but unatulia mpaka season 6 zinaisha

Niliishia hapo hapo, nilipoanza kuona watu wasiokua na mifupa wala nyama nikaona huu uzinguaji. Niliiangalia miaka minne iliyopita
 
Nashkuru SEAL TEAM imerudi, mambo ya chief master Jason Hayes ni shida, Young Sheldon nayo imerudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom