Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu Niko na POWER SEASON 6, Snowfall Season ya 1 mpaka 3, The Fix ya mwaka huu (kali sanaaaaa), Warrior ya mwaka huu pia (kali sanaa).

Kama uko maeneo ya Dar na una Peaky blenders, nicheki tufanye exachnge
 
Njoo PM Mkuu
 
Kuna hii ijayo inaitwa rising Dion, ni series huenda itakuwa nzuri sana.Ngoja tusibiri tuone mpaka this october.Naifananisha na No ordinary family.Lakini ngoja tuone.
 
MV5BYWI2ZmM5ZTgtOTgxYS00MTQ4LThkMjQtZjBlNGM3NjQ5YTI5XkEyXkFqcGdeQXVyMDM2NDM2MQ%40%40._V1_.jpeg
 
Wadau me naomba anejua movie za wazungu za historical kama vile
-game of throne
-vikings
-The last kingdom
-Merlin
-Atlatis
-The legend of the seker

Naomba zingine za mtindo huo
 
season 5 ya peaky blinders mkuu haijanivutia labda kwa sababu nimelimisi vurugu la john shelby.
kuna series nyengine nzuri unaweza kunitajia?
yenye maudhui kama ya peaky blinders
Check Pennyworth kidogo.....
Imeisha vibaya sana Peaky Blinders dah....yani Tommy kaisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom