ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Sep 25, 2019 #13,781 Executor said: Watu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote.... Click to expand... Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengine
Executor said: Watu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote.... Click to expand... Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengine
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 997 Sep 25, 2019 #13,782 Ndo naitizama niko season ya 4 now, lkn nafikiri natofautiana na wewe aseee kwani Vikings ni best over GOT.... ikhatibu said: Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengine Click to expand...
Ndo naitizama niko season ya 4 now, lkn nafikiri natofautiana na wewe aseee kwani Vikings ni best over GOT.... ikhatibu said: Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengine Click to expand...
allan248 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 1,167 Reaction score 786 Sep 25, 2019 #13,783 Executor said: Ndo naitizama niko season ya 4 now, lkn nafikiri natofautiana na wewe aseee kwani Vikings ni best over GOT.... Click to expand... Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude..
Executor said: Ndo naitizama niko season ya 4 now, lkn nafikiri natofautiana na wewe aseee kwani Vikings ni best over GOT.... Click to expand... Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude..
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Sep 25, 2019 #13,784 gwankaja said: Yan Jack Ryan imekushinda.?? Uliishia episode ya ngapi? Click to expand... Jamaa amekaa kiree sana
gwankaja said: Yan Jack Ryan imekushinda.?? Uliishia episode ya ngapi? Click to expand... Jamaa amekaa kiree sana
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Sep 25, 2019 #13,785 Kuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho?
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 997 Sep 25, 2019 #13,786 Nima huyu jamaa, na alivokufa Ivar the boneles ameishika vizuri nafasi ya Gagnar aseee allan248 said: Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude.. Click to expand...
Nima huyu jamaa, na alivokufa Ivar the boneles ameishika vizuri nafasi ya Gagnar aseee allan248 said: Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude.. Click to expand...
Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 848 Reaction score 1,358 Sep 25, 2019 #13,787 Hivi inatok ln?
K Kamanda Nyati New Member Joined Sep 10, 2019 Posts 2 Reaction score 0 Sep 27, 2019 #13,788 Wakuu movie ya grownish imefikia series ya ngap had sasa?
rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 6,108 Reaction score 7,788 Sep 27, 2019 #13,789 App gani nzuri ya kuangalia movies online kwa simu?
Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 848 Reaction score 1,358 Sep 27, 2019 #13,790 The outpost inafaa kuptzea tym weknd
allan248 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 1,167 Reaction score 786 Sep 27, 2019 #13,791 Kamanda Nyati said: Wakuu movie ya grownish imefikia series ya ngap had sasa? Click to expand... Haujaeleweka chief.
Kamanda Nyati said: Wakuu movie ya grownish imefikia series ya ngap had sasa? Click to expand... Haujaeleweka chief.
MR BINGO JF-Expert Member Joined Feb 12, 2016 Posts 1,208 Reaction score 2,591 Sep 28, 2019 #13,792 Pengobovu said: The End of season 5 tunasubiri ya 6....ila kimsingi Michael ndo amemsaliti Tommy. Click to expand... Tommy ameingia mlango wa kutokea aisee. Lakin nmefurahi muhuni alfie solomon hajafa
Pengobovu said: The End of season 5 tunasubiri ya 6....ila kimsingi Michael ndo amemsaliti Tommy. Click to expand... Tommy ameingia mlango wa kutokea aisee. Lakin nmefurahi muhuni alfie solomon hajafa
Pengobovu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 482 Reaction score 546 Sep 28, 2019 #13,793 Hatari sana Alfie...ngoja tuone ya 6 itakujaje
scrappy JF-Expert Member Joined Apr 8, 2019 Posts 450 Reaction score 566 Sep 28, 2019 #13,794 donlucchese said: Kuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho? Click to expand... ozark ni moja kati ya best series kwenye list nilizozitazama nakuikubali. nimependa uhalisia wa series huwezi ukalinganisha na queen of the south
donlucchese said: Kuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho? Click to expand... ozark ni moja kati ya best series kwenye list nilizozitazama nakuikubali. nimependa uhalisia wa series huwezi ukalinganisha na queen of the south
roservelt JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,418 Reaction score 1,520 Sep 30, 2019 #13,795 Kigongo kipya hicho Your browser is not able to display this video.
roservelt JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,418 Reaction score 1,520 Sep 30, 2019 #13,796 roservelt said: Kigongo kipya hichoView attachment 1219804 Click to expand... "Bard of blood" mzigo upo Netflix.
roservelt said: Kigongo kipya hichoView attachment 1219804 Click to expand... "Bard of blood" mzigo upo Netflix.
Don Vito JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 1,343 Reaction score 2,120 Oct 1, 2019 #13,797 donlucchese said: Kuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho? Click to expand... Nashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sana
donlucchese said: Kuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho? Click to expand... Nashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sana
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Oct 1, 2019 #13,798 Don Vito said: Nashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sana Click to expand... Me nilishindwa kuendelea nayo, niliona imepoa sana
Don Vito said: Nashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sana Click to expand... Me nilishindwa kuendelea nayo, niliona imepoa sana
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Oct 1, 2019 #13,799 Mmecheki FAUDA ?
Pengobovu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 482 Reaction score 546 Oct 1, 2019 #13,800 Mambo ya Mossad FORTALEZA said: Mmecheki FAUDA ? Click to expand...