nimemaliza kuiangalia season 1 nimeamua kuitafuta season 2 lakini mpaka muda huu nimeshindwa kuipata, Natumai shelby brothers watampokea kwa upendo zaidi yule jamaa mkomunisti aliyefunga ndoa na dada yao.
dah! wakati wewe unapanga mkakati X upande wa pili tommy shelby ameshapanga mkakati WXYZ.
maishani mwangu hii itakuwa ni series ya pili kutoka nchi za magharibi kuiangalia.
nimezipenda hizi nukuu:
“Everyone’s a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.” Tommy Shelby
Men and their cocks never cease to amaze me.” Aunt Polly
Don't f**k with the Peaky Blinders.Aunt polly
- All religion is a foolish answer to a foolish question.” – Thomas Shelby
- I learnt long ago to hate my enemies, but I’ve never loved one before. Tommy shelby
- You have your mother’s common sense but your father’s devilment. I see them fighting. Let your mother win.