Series (Special thread)

Nimeanza kuangalia the office . Hii naweza sema ni the best comedy series ikifuatiwa kwa karibu na silicon valley
 
Asee hii list imeshiba si mchezo sema mimi ningeongezea hapo Van Helsing, The Magicians, SEAL Team, na nyingine kibao nitaziongea siku za usoni
 
nimemaliza kuiangalia season 1 nimeamua kuitafuta season 2 lakini mpaka muda huu nimeshindwa kuipata, Natumai shelby brothers watampokea kwa upendo zaidi yule jamaa mkomunisti aliyefunga ndoa na dada yao.
dah! wakati wewe unapanga mkakati X upande wa pili tommy shelby ameshapanga mkakati WXYZ.
maishani mwangu hii itakuwa ni series ya pili kutoka nchi za magharibi kuiangalia.​
nimezipenda hizi nukuu:
  1. “Everyone’s a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.” Tommy Shelby
  2. Men and their cocks never cease to amaze me.” Aunt Polly
  3. Don't f**k with the Peaky Blinders.Aunt polly
  4. All religion is a foolish answer to a foolish question.” – Thomas Shelby
  5. I learnt long ago to hate my enemies, but I’ve never loved one before. Tommy shelby
  6. You have your mother’s common sense but your father’s devilment. I see them fighting. Let your mother win.
 
Safi mkuu
 
Ukitaka uielewe hili dude anzia mwanzo kabisaa.....hawa jamaa ni mamafia hatari sanaa
yap, nimeiangalia season 1 na ndio ilionifanya niwe na mzuka wa kuifuatilia mwendelezo wake.
huyu kaka yao anayeitwa arthur shelby ni zaidi ya mwehu pindi akishabwia cocaine.
hii series haifai kuangalia na mtu unayemuheshimu hususan season 2.

season 3 loading--------
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…