Series (Special thread)

Hahaha ukicheki season ya mwanzo unaweza ipotezea sema kila inavyoendelea unagundua hii ni ya ukweli
Wakuu hii Breaking Bad nilikuww naichukulia poa

Ila ni bonge la series... Ambaye hujaicheki ebu itafute!!
 
KAMA UNAPENDA SERIES YA COMEDY CHECK HII ''MASTER OF NONE'' IKO NETFLIX
 
Watu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote....
 
Watu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote....
Vikings Wale wanaume aisee... kwenye GOT ukitoa White walkers ile series haina maana tena
 
List yangu mpya...

1. PRISON BREAKS
2. VIKINGS
3.BREAKING BAD
4.GOT
5. MONEY HEIST
6.THE 100
7. IF LOVING YOU IS WRONG
MAMBO YA MAHABAA...
 
Jaman nataka kudownload locked up au VIS A VIS series hiyo ila cjaipata kwenye site ya 02tvseries... Mwenye kujua ilipo na site yake naomba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…