Series (Special thread)

Ramsi kinywaji pendwa king gwaetto the great kimemalizika...napenda kutanguliza shukrani za dhatii kwa wakongwe walinipa hiki kilevii kama kuna chupa nyingine tamu naiomba nianze kulewa
 
Hivi blindspot, lethal weapon wamecease production kabisa? Natamani hata the last ship itoke mpya, seal team nayo olla daaah
 
Naomba mnitajie movie zingine za kibabe zinazokaribiana na Vikings.ukiondoa spartacus ambayo nishaimaliza yote zaman
 
Naomba mnitajie movie zingine za kibabe zinazokaribiana na Vikings.ukiondoa spartacus ambayo nishaimaliza yote zaman
Ukimaliza viking inabidi ucheki the last kingdon.... ni muhimu sana aiseeh...

Baada ya hapo tafuta ROME ambayo sio kali saaana kama hizo hapo juu lakini ina mambo yake
 
Peaky Blinders s5.Hawa wahuni wapya ni hatari sana


Ngoja tuone kama wataziba pengo la Luka Changretta na Alfie Solomons
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…