Series (Special thread)

Homeland kali sana mzee.. Mimi nimeirudia kwa mara ya pili, now nipo season 5
Ngoja nianze kuiangalia Nina season 1 ila baada ya episode chache nikaipotezea. Naiangalia nikilenga kuenjoy hiyo season2 sasa ikiwa kinyume lawama zangu nakupa wewe
 
kwa wale wapenzi wa comedy series, pakua "orange is the new black" season 7 ndio final season.....
 
Aisee utakuwa umefanya jambo la msingi sana kutazama Lost.
Series kali sana unaweza tazama na wazazi pia haina yale mambo yetu-wale jamaa walikuwa na story
 
Money heist ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na nusssssuuu
Fuvk this s03 wantagamela ni hatari
Money heist ni balaa sana ..
Hapa nipo na s03 sasa naogopa kuimaliza yote.

Kwahio nafanya kuangalia episode moja then natafakari , naenda kwenye mizunguko yangu jioni nakuja kuangalia nyingine..

Hii yote nafanya ili isiwahi kuisha..


Hawa jamaa wangeweka episodes hata 20
 
Angalia lost mkuu..
Ni bonge la kitu
 
Mision yake ndefu mkuu. Series ni matokeo ya kipindi fulani. Lakini hiyo season mbili zote inaonesha zimeenda siku 3 tu
Mkuu kama umeona 24..
Season moja ina episodes 24.
Kila episode ni saa moja kwenye siku na season moja ni siku moja tu.

Lakini ni moja ya series kali kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia hii.

Kwenye list yangu ya series kali inaanza
1. 24.
2. GOT
3. Prison break.
4. Money heist
.........
 
Ni Kali Sana episode Ni chache Sana..inaisha kibabe
 
Ni kwamba hujaangalia MONEY HEIST/LACASA DE PAPEL au???!
 
Daah....mimi binafsi napenda sana series za mission sana, yaan zinatumika akili nyingi sana kusolve mission km terrorism hivi. Kwahiyo kwangu series ambayo siichoki kuangalia ni "24 HRS" ya Jack Bauer. Though zipo series nyingn nyingi nimeshaangalia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…