Series (Special thread)

Hata mimi kiongozi,najionea chengax2 na matukio yalikosa msisimko...nakaribia kuacha kuitazama.
Yeah yaani sio kama mbaya lakini haina uzuri wa inavosifiwa. Saa 6 usiku hii mimi naangalia hapa nipo s01e11. Kwanza matokeo yako slow sana. Yaani season nzima ni siku mbili tu. Kimision chenyewe ni kidogo lakini wanakipublish
 
Mpaka sasa naangalia money heist na nipo episode ya 6 season 1. Sijaoma uzuri wake kama inavosifiwa. Sijui uko mbeleni vipi
Dah Kweli kila mtu na flavour yake, yani Mm inaanza tu nikaikubali mpk kesho nitaikubali..
 
Hii SiTe Iko PoaH Sana.......Nimeikubali sana..
 
aise wapenda comedy series tafuta "catch 22" ni ya mwaka huu.bonge la series...hutojutia bando lako
 
pamoj mkuu
 
Animal Kingdom ifatilieni hii,,ipo vizuri sana,,hadi sasa wameshafika season 4,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…