Wapi naweza kuipata (link) ya money heist yenye audio track ya kiingereza
I hate subtitles
Aisee hii mambo tamu sanaaa mzeeeeWakuu nimeangalia Hii Mr robot nimebakiza episode moja Nimalize season ya kwanza lakini nimepata wakati mgumu sana kuielewa wadau walioangalia hadi season 3 nipeni uzoefu vipi iko fresh huko mbele au ndio hivyo hivyo kama season 1.
NETFLIX MKUU
ukiingia huko jiandae kulipa 27k kila mwisho ww mwezi
Bt the good thing ni kwamba mnaweza ku join hadi users watano..
Kama wato mpo karibu mnachanga 5k each
Unajikuta mwisho wa mwezi unalipa 5k
Kuliko 27 peke ako
Done
Mkuu,Amini kwamba,money heist ukiicheki kwa kiinglish,kina udambwi dambwi fulan hivi unaukosa
M nilianza kucheki ep 1 na 2 kwa kiinglish.Lakini ep 3 na kuendelea,nkasema ngoja nichek kwa kiispanyola,hapo ndo nikagundua kuna uramu niliikusa hasa wa berlin
berlin anajua sana yule mshkaj ila nashindwa kuelewa kwny season ya 3 atatokeaje tena
m mwenyewe sijaelewa elewa!!!
Maana nilishangaa hata kuke kwenye Prison Break,John Abruzzi is alive and wellukiachana risasi alizomiminiwa zileeee!!!!!
Ila nikasema kama ya Lissu tuuuu
Hata kamaa alikua kavaa bullet proof...kwa zile risasi ilitosha kua RIP. Ukiachana na Berlin ...Nairobi nae yuko so fun aiseeem mwenyewe sijaelewa elewa!!!
Maana nilishangaa hata kuke kwenye Prison Break,John Abruzzi is alive and wellukiachana risasi alizomiminiwa zileeee!!!!!
Ila nikasema kama ya Lissu tuuuu
Nairobi she is so much funny hasa akiwa anatoa komandi kwa hostage utafurahi. Denver ni kind hearted na Moscow mzee wa busara.Hata kamaa alikua kavaa bullet proof...kwa zile risasi ilitosha kua RIP. Ukiachana na Berlin ...Nairobi nae yuko so fun aiseee
Nairobi she is so much funny hasa akiwa anatoa komandi kwa hostage utafurahi. Denver ni kind hearted na Moscow mzee wa busara.
Berlin hawezi kurudi mkuu.m mwenyewe sijaelewa elewa!!!
Maana nilishangaa hata kuke kwenye Prison Break,John Abruzzi is alive and wellukiachana risasi alizomiminiwa zileeee!!!!!
Ila nikasema kama ya Lissu tuuuu
Hata mimi nafikiri hivyo maana mzee Moscow alinyukwa 3 tuu, akanyooka,, Berlin hawez kusalimika pale.Berlin hawezi kurudi mkuu.
Mimi naamini pale anapoonekana Berlin kuna mawili,huenda Professor alikuwa anasimulia jinsi alivyokutana na Berlin wakati anaandaa heist ya kwanza au Professor anakumbuka.
Sioni ni namna gani Berlin anaweza kuondoka hai kwenye lile shambulizi lililomkuta,pia kumbuka muda wake wa kuishi ulikuwa umeisha kwasababu ya ule ugonjwa wake.
Ila ngoja tuone itakavyokuwa.
Mkuu hapa nna mpango wa kushusha breaking bad na banshee,,,, ipi niamze nayo???My best series ambazo naziheshimu.
1.Breaking bad
2.Power
3.The Lost
4.Banshee
5.Ozark
6.Money Heist
7.Shameless
8.Orange is the New Black
9.Catch 22
10.Silicon Valley
11.2 and half men
12.Strike back
13.Game of thrones
14.Hanna
15.How to get away with murder
16.Bing Bang theory
nilizoshindwa kumalizia
Gotham
Queen of the south
the last ship
the walking dead
the originals, vampire....
into the badland
agents of shield
arrow, flash,
I see breaking bad.. inaanza kitoto.. lakini ikifika season 2 utakubali kwamba kwanini inasifikaPoa mkuu, nilicheki season one tena epsode one tu.
Hii kitu ni habari nyingine kabisa..Aisee najuta sana. Hivi kipindi wenzangu wanaangalia LA CASE DE PAPEP a.k.a MONEY HEIST mimi sijui nilikua wapi? Hii kitu ni tamu balaa
here a mineNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power