Habari wakuu
Kuna mzigo unaitwa LAST RESORT, Ni ya siku nyingi kidogo ila kwa jinsi nilivoona trailer naona Kama inanivutia kwasbb napenda issue Kama hizo.. Millitary, Navy
Sasa nauliza Kuna mwamba yoyote ashaiona hio?
Ikiwezekana nisaidiwe kabisa na link zile za index of...
Hiyo uliyoangalia wewe ni GOAT,ila GOT ina ushoga...
Kuna mfalme ni mchele kibua kwenye GOT,itafute GOT uitazame utajionea..!
Ila ni jambo la kawaida sana series za siku hizi kuwa na mambo ya mapenzi ya jinsia moja,na sio bahati mbaya ni mpango wa kufanya mapenzi ya jinsia moja lionekane ni jambo la kawaida kwa watazamaji..!