Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kawaida sanaaa sijategemea hamna hata maajabu ya kuonesha mpaka iitwe jina lile, gaidi kafa kizembe vile. Tyrant ilikua noma
imenibidi nicheke uku nilipo mana ile sehemu anayokufa nkikumbuka
 
Jack ryan ya kawaida saana, walipoboa zaidi gaidi kafa kizembe mno,wakaenda na kule morroco kwenda kummalizia yule jamaa alietoroka kirahisi sana,full miyeyusho
 
Jack ryan ya kawaida saana, walipoboa zaidi gaidi kafa kizembe mno,wakaenda na kule morroco kwenda kummalizia yule jamaa alietoroka kirahisi sana,full miyeyusho
Jack ryan....naipa nyota moja tu....nadhan 24 hours iliweka bench mark ya juu sana....kwenye series za jinsi hii.
 
Marvels wametoa Dare Devil season 3 ,Iron Fist season2

Sio za kukosa...
 
Hivi hii series ya discovery of a new witch kuna mtu anaiangalia humu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom