Series (Special thread)

Kwang inapakua ila sijui inapojisave
natafuta nizihamishe sizion kbsaaa daaah kwel yule alieitoa terrerium nikikutana nae pepon nitamsukumia moton kbsaa
 
Salvation toka imetoka season 2 hajasimama mpk inaenda kwisha kesho kutwa
 
Mie ilikubali mwanzo, but ikazingua njiani. Ilikuwa na mpangilio mzuri.

Hapa najaribu Showbox, Queen of the South S3E13 inanambia niwatch online....I will always miss Terrarium.
Tumia Ololo.to iko poa sanaa sema ni search engine umoo kuna matakataka yotee, tatizo likoo unanaweza search movie yako ila zikaja kibaooo so inataka ujue full name la jina la movie unayotaka,,, unaweza Ku download kwa uwezo Wa mb zakoo sema kunaa ka process kafupy.
 
Mi nafanikiwa kudownload na kuziona lakini zinakosa majina ...zinasomeka in terms of number
Mi kwang hatimae zimetokea namajina kbsa na zimejisave vzr hatakuhamisha nmeweza,daah nilishawaza sana,mwanzo zinatokea km namba ila baaada ya muda zinabadlika zinakuja majina
 
Nimeiangalia zamani sana mpk nimesahau lakini ni series nzuri sana yapaswa kuangaliwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…