kuna huyo serial killer kakamatwa kisha kawekwa kwenye hizi hospital za wagonjwa wa akili, (alikuwa anazika watu wakiwa hai),
imagine he can get into your head mpaka akamfanya mfungwa mwenzie aliyeko next room akajitoa uhai wake mwenyewe na anawasiliana naye kupitia tu sink la kunawia hawafahamiani hata sura, he is such a manipulator mpaka akaweza kuwatumia baadhi ya wafanyakazi wa hapo hospital kutimiza baadhi ya malengo yake ndani na nje ya hospital,
Ikatokea siku one of his victims wa 3 years back akapatikana akiwa hai, alitorokaje kutoka mafichoni haijulikani, walitekwa huyo kijana mdogo na dada yake, watu wakapigwa na butwaa, kama muhusika kakamatwa tayari how comes kuna matukio yake bado yanaendelea huku nje, ni yupo na accomplice ama kuna mchezo anacheza, maana kuna muda serial killer anaonekana humo ndani kuna vitu anafanya vinatia mashaka,
so ukawa ni mchakamchaka wa kumsaka dada mtu, maana bado hajulikani alipo, kuna mpelelezi alikuwa anafuatilia hiyo case baada ya hao watoto kutopatikana akastaafu kwa ku feel guilty, ikabidi arudi tena kazini kumalizia kiporo aliacha miaka hiyo, huyo mpelelezi ana goddaughter (binti wa partner wake) ambaye pia ni askari, binti ana force kuwa undercover kwenye hiyo hospital ili awe karibu na huyo serial killer na aweze kuchunguza ni kitu gani hasa kinaendelea, binti anafanikiwa kuingia as UC, lakini mind you, anapoteza communication device aliyopewa, so she has to work blindly..!
na alionywa awe makini, that serial killer can get into your head, hapo hospital kuna mfanyakazi mgeni naye kashaanza ingizwa kwenye mfumo na serial killer, binti aliyetekwa 3 years back bado hajulikani alipo na kama yupo hai ama la, mfanyakazi wa hospital aliyekuwepo kabla ya huyo mgeni katekwa yeye na familia yake, katekwa na nani..!? anajua siri zipi.!? serial killer yupo ndani lakini anachezeshaje michezo yake huko nje..!? is there another person anaendeleza matukio.!??
kuna maswali mengi sana hayana majibu bado, ila hiyo ndiyo NOCTURNE..!