donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Wamekosea sana kumuua mke wa mike, watalipia dhambi zaoKwa ile attack iliotokea hawezi kuendelea kuwa Lecturer......aisee nimefurahi kumuona Jimenez wa Power kama Tavo.....ngoja tuone episode 02 itakuaje..
Co rahis kuweka yte,wenye mtindo huo ni watengenezaji wa netflix ndo wanashushaga mzigo wote kwa pamojaTerrarium walishaiweka yote ila sasa hivi naona wameiondoa.
Nipe link niweze download season 1Tunaofuatilia Jack Ryan, Season 2 ni baada ya siku 353, so we have a year to wait.
1movies.seNipe link niweze download season 1
Waliweka yote asee, just like Netflix.Co rahis kuweka yte,wenye mtindo huo ni watengenezaji wa netflix ndo wanashushaga mzigo wote kwa pamoja
Daaah mbona parefu sana aisee.Tunaofuatilia Jack Ryan, Season 2 ni baada ya siku 353, so we have a year to wait.
Usikatae mkuu. Nimeiangalia yote. Tena muda mrefu tuu. Kama sio kuhofia kuwakera wengine ningekuelezea Epsd ya mwisho ilivyokuwaCo rahis kuweka yte,wenye mtindo huo ni watengenezaji wa netflix ndo wanashushaga mzigo wote kwa pamoja
Nakupata vipi Na naipata vipi?Tom Clancy's JACK RYAN
Season 1 Complete - 8 Episodes.
Hutajutia kuiangali maisha yako yote.
Ni action ya maana
Kama upo dar nicheki nikupe full
Nipo nayo kwa PC . Nipo tegetaNakupata vipi Na naipata vipi?
Kuna kawebsite flan kanaitwa o2tvseries.com unaweza ipataNakupata vipi Na naipata vipi?
Ni bonge moja la series its so real & touchingTom Clancy's JACK RYAN
Season 1 Complete - 8 Episodes.
Hutajutia kuiangali maisha yako yote.
Ni action ya maana
Kama upo dar nicheki nikupe full
Ha ha ha tushaamia
Hahahaha....daaaah..kama mm mzeeee....namulewa sanaaaa....kuna sehemu alimpa heshima mr torres kama mtekwaji bora
Hii apps iko njema sanaHa ha ha tushaamia
Dah mi niadithie tu hata inbox mwazo mwshoUsikatae mkuu. Nimeiangalia yote. Tena muda mrefu tuu. Kama sio kuhofia kuwakera wengine ningekuelezea Epsd ya mwisho ilivyokuwa
Kwang namepakua ep moja lakin nikiiangaia ktk video zng siipate hywa znajihifadh wap? Ila kiukwel nitaimiss sana terrerium tv kwa kweliHii apps iko njema sana