Jack Bauer ni vigumu kumfananisha na Jack Ryan. Bauer kwenye hard decision na upredictable issues ni mtaaram sana. Pia plots anazopanga huwa ni complex na ni vigumu kumpredict. Sometimes anapingwa na wote na kukataliwa but he rises mshindi.Kwa mchakamchaka...24 bado naipa high ranking sana. Jack Ryan nimeipenda pia....ingawa naona ina emotion moments nyingi...na few hard decisions. Katika scene nilizozipenda hadi sasa ni pale wanamchukua yule mama na watoto wake beach...it was so interesting jinsi yule mdau mwenye danguro jinsi alivohandle ile situation.....it was so interesting....!
Umenena vyema...hakika...sina nyongeza....! To some extent kwenye hii Jack unaweza kupredict matukio....!Jack Bauer ni vigumu kumfananisha na Jack Ryan. Bauer kwenye hard decision na upredictable issues ni mtaaram sana. Pia plots anazopanga huwa ni complex na ni vigumu kumpredict. Sometimes anapingwa na wote na kukataliwa but he rises mshindi.
Bauer mateso anayapitia sana lakini bado hubaki mzalendo. Napenda pia the way he talks n how he handle simple n sophisticated matters. So 24 ni habari ingine.
Hii ya Jack Ryan nayo imeanza vzr sana na wamefanya plots nzuri na haichoshi kamwe kuangalia. I like the idea n wish iendelee daima!
Atakayepata ambayo Jack Bauer kacheza ya action, adventure n drama tofauti na Designated survivor asisite kutujuza!!!
Me tayari niko siti ya mbele na popcorn zangu ndani ya meli la kibabeHayahaya wale wa 'the last ship' tunaanza msimu wa tano
Aye aye captainMe tayari niko siti ya mbele na popcorn zangu ndani ya meli la kibabe
Sawasawa Master chiefAye aye captain
Nadhan adi sasa watu hawafahamu kuhusu hii kituThe last ship S05E01 ishadondoshwa, kuna alie icheki, mie nasubiri zijae jae...
Mie mwenyewe nasubiri ijae ndo nicheki sasahivi nipambana na Ozark,Iron First na Tom ClancyThe last ship S05E01 ishadondoshwa, kuna alie icheki, mie nasubiri zijae jae...
Season 5 imeanzaNgoja nisubir last ship mwezi ujao
Huu moto naacha kila kituNadhan adi sasa watu hawafahamu kuhusu hii kituView attachment 862116
Chombo kwa majiiii USS Nathan JamesSeason 5 imeanza
Nimeona notification ya new update, kumbe uki update ndio kwa heri?Nipo na huzuni tuu. Terrarium TV imeshut down
Nope,soma ile message ya hiyo updateNimeona notification ya new update, kumbe uki update ndio kwa heri?