Series (Special thread)

Series kali kuliko zote kwangu ni hii inaitwa TRAVELLER ilikuwa miaka ya 2007-2010 i guess.
Kisa chake madogo watatu wanaosoma chuo flani waliamua kwenda furahia siku ya graduation yao kwenye Museum. Kufika kule mwenzao mmoja akawapa challenge wafanye rollerskating ndani ya ile museum kutoka nje wasipokamatwa anawapa hela, wale madogo wawili kweli wakaamua kuroll huku wakikimbizwa na polisi wa jengo!.
Kufika nje ya jengo wanafurahia wameshinda nyuma jengo linalipuka (Act of terrorism). Na FBI wanaporeview security tapes inawaonyesha wao ndio wahusika thus wanageuka most wanted people in USA!. Madogo wanapodakwa wanajitetea wao walikua wanafanya challenge na wenzao tu, polisi kutaka wamtaje mwenzao wa 3 wanakuta hata chuo hakujawahi kuwa na huyo mtu na picha zao zote walizokuwa wakipiga yule mwenzao alikuwa anajiziba sura so hawana ushahidi wa kuwapa FBI.
Wazazi wa watoto ni matajiri balaa lakini wanajua maji waliyoingia wale watoto ni makubwa inabidi baba zao wawaambie 'imekula kwao, hawawezi saidika' lile ni deal toka Top Level.
Hii series ilipelekwa on air season 1 tu ikawa cancelled but it was mostly entertained kuona madogo wanavyohangaika kuwakimbia FBI, Homeland, LAPD, Assassins na huku wakijaribu kumtafuta mwenzao wa 3 (wil traveller) aweze wasaidia!.
 
Last edited:
Nna telegram channel hua wanatoa updates zao kila wiki inayotoka
Jumatano imetoka season 5 episode 11... ni moooto
Nimeangalia katika DLNA server langu, nimekuta nina seasons 1-3 halafu nimeangalia season 1 tu, kuna mpaka 5 sasa.

Huku Ray Donovan nayo sijaimaliza new season.

Too many shows, too little time.
 
Hii inaonekana tamu sana,so iliishia season 1?
 
Hivi Into the Badlands ni mpaka Jan kweli? Nimekutana na hizi fununu katika page yao ya Insta kwa wadau mbalimbali wakilitaja hili.
 
Kwa aya maelezo ina onekana ni bonge la mzigo.... tatizo nn mpaka ikawa cancelled
 
Kwa aya maelezo ina onekana ni bonge la mzigo.... tatizo nn mpaka ikawa cancelled
Sijajua kwanini waliicancel labda budget yake!.. ila hilo jina Traveller ndio rafiki yao wa 3 aliyewaset jamaa!..
Ni kisa simple but very well presented, mna rafiki yenu mnasoma wote, yeye hapendi picha!!.. Miaka yote mnasoma nae mkija angalia mnakuta hamjawahi kumpiga picha sura yake kila sehemu lazima alijiziba uso hadi club!.
Halafu yamewakuta na yeye ndio anaweza watetea ila hamna jinsi ya kumpata wala kutangaza kapotea zaidi ya maelezo tu!.
 
Hii series wenyewe wanasema FBI waliagiza iwe cancelled sababu ilikuwa inatoa mbinu za kukimbia vyombo vya usalama...

Among others kuna Crisis inaelezea watoto wa matajiri, mabarozi, wakuu wa vyombo vya usalama na wanasayansi wakubwa walikuwa wanasoma shule moja halafu mtu akawateka wale watoto wote akawa anawapa maelezo... Na uyu mtu aliewateka ni mtu wa CIA ivyo he is smart... Pia ilikuwa cancelled ivyo ivyo

Kuna the event
Iyo bonge la series inaelezea Mshikaji kamaliza chuo yupo na Gf wake on vacation Anarudi anakuta yule mdada amepotea... Hakuna record zake kokote... Yule jamaa yeye na ujuzi wake tu wa computer he takes down assassins, Goverment and aliens... Hatarii saana inatoa nafasi ya kujua vitu vingi vinavyoendelea na uwezo wa kudadavua mambo ikawa cancelled.. Na kuna Zingine kama 2 sizikumbuki majina.
 
Kuna watu wana Idea kubwa na wanajua kuziexpress!..
 
Mimi nimeangalia series kama 60+ hapa naona taabu kuziandika
 
Kuna watu wana Idea kubwa na wanajua kuziexpress!..
Tupeni these kind of shows ambazo hazijawa cancelled,maana ni tamu
 
Tupeni these kind of shows ambazo hazijawa cancelled,maana ni tamu
Quantico
Legend
Valor
Six
Wayward Pines
Extant
Helix
zipo nyingi sanaa nishasahau zingine!..
 
Akina clack, belamy,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…