Series (Special thread)

story au action
The Americans ni 100% Spy Series... kwahiyo, kama ni mpenzi wa spy series, kwa maoni yangu hii ndiyo best spy series ambayo hupaswi kuikosa lakini kama unapenda spy series aina ya 24, then The Americans inaweza kukuboa kwa sababu, hii actions zipo lakini ni chache. Usisahau, ujasusi unaambatana na actions za kimyakimya na sio zile za ki-FBI
 
Last edited by a moderator:
Aiseee tuachane na wale wanawake wanao penda kuangalia korean drama... tuzungumze kuhusu akili nyingi za kizungu..taja unayo ipenda na tumaelezo kwa ufupi...

Me naanza na the 100.. kisa chake ni kua baada ya dunia kushambuliwa na nuclear baadhi ya binadamu walikua waki ishi kwenye anga.... na kutokana na chombo walicho kua wakitumia (ark) kuelekea kuishiwa nguvu.. ikabidi wateuliwe wafungwa 100 ili kuenda duniani kuangalia kama dunia ina ruhusu binadamu kuishi..... sasa walio kua waki yakuta duniani ndo utamu wa movie sasa
 
Spartacus
  • The Gods of the arena
  • Vengeance
  • Blood and Sand

Bitten season 1 & 2

Power season 1 & 2

Game of Throne season 1 up to 7

sina maelezo
 
Last edited:
Umenikumbusha The 100. Niliiangalia nikamaliza Season 1 halafu mitikasi ikawa kibao nikawa sijaendelea zaidi.

Wameitengeneza vizuri. Plot, cinematography, location, acting.

Sasa hivi nimerudi kuangalia "Ray Donovan" Season iliyoisha hii 5.
 
Last edited:
mkuu chige naomba intro kidogo ya house of cards,na series zingine kali,the americans ile series kiboko ivi kwanini imeisha mapema dah
 
Umenikumbusha The 100. Niliiangalia nikamaliza Season 1 halafu mitikasi ikawa kibao nikawa sijaendelea zaidi.

Wameitengeneza vizuri. Plot, cinematography, location, acting.

Sasa hivi nimerudi kuangalia "Ray Donivan" Season iliyoisha hii 5.
The 100 iko safi na seadon ya 5 wametoa this year... kama walivo fanya amc na into the badlands
 
Vikings naipenda

Kina Rollo
Ragnar luthbrok

Niliipenda 24 kuliko series zote

Niliipenda breaking bad my best series of all time

Niliipenda person of interest

Na nyingine nyingi
Breaking bad ndo ya kwanza kwenye list ya series bora zaidi duniani za muda wote... vikings ni kiboko
 
The 100 iko safi na seadon ya 5 wametoa this year... kama walivo fanya amc na into the badlands
Nitaitafuta niendelee nayo, kuna kipindi ilinzakuwa slow nikaipotezea, ila inaweza kuwa slow halafu, paaa, linaibuka dubwana huko vuruguuu.

Ukiangalia series kama hizo sana ikitokea apocalypse unaweza kuwa umejifunza survival skills.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…