Index of /serial/Empress Chun Chu/Guys natafuta series ya empress chunchu, flower prison na Athena
Ni za kikorea
Shukrani mkuuHuna haja ya kutumia sijui matorrent ingia hapotumia UC download upakue
Index of /Media/TV/Money Heist/Season 01/
Index of /94/series/money.heist/s2/
Shukrani mkuuUmo Umo kwenye hiyo link inakuja Kama na kavideo flan kana alama ya kuplay.. kaclick kataonyesha chini previous, next na mengine mengine scroll chini Kuna options mbili za kuvuta kupitia magnetic au torrent... Click unayopenda mzigo huo
Hata ukitumia simu? Au ni kwa PC tu?Kuna kipindi nilijaribu kudownload breaking bad kwa kutumia torrent ikazingua. Nimekuja kufanikiwa nimegundua kwa nilikua napitwa na vingi.
Njia nyingine ya kudownload movie au series unaingia Google baada ya hapo unaandika
Index of...............
Kwa mfano index of breaking bad zitakuja na utadownload kwa kutumia IDM. Hazina MB nyingi.
Mimi nilitumia pc, kwa simu sijajaribu kiongoziHata ukitumia simu? Au ni kwa PC tu?
Hii ni balaa ..nimeona seroes nying sana ila hii mwisho wa reli ...kwa msisitizo ona hiyo avatar yanguHii breaking bad ndo ile ya yule lecture mkemia
Bonge la series hili nimependa sana story yake ftna za wapalestina na israelWaisrael na ndugu zao wapalestina mara fatah mara hammas ni shida sana ...
Niliitema hiyo baada ya kuona ep 3 za mwanzo za s2Hii designated inafaa kuwa cancelled maana wamezingua season 2 polifix kibao
Dah umenikumbusha shameless Hawa machalii wa humu ni noma.JAMANI NATAFUTA SERIES YA SHAMELESS KUANZIA SEASON 4-8, MWENYE NAYO ANI DM
Ha ha ha ha ha. Breaking bad ni habari nyingineKuna kipindi nilijaribu kudownload breaking bad kwa kutumia torrent ikazingua. Nimekuja kufanikiwa nimegundua kwa nilikua napitwa na vingi.
Njia nyingine ya kudownload movie au series unaingia Google baada ya hapo unaandika
Index of...............
Kwa mfano index of breaking bad zitakuja na utadownload kwa kutumia IDM. Hazina MB nyingi.
Ni nzuri sana. Season 5 ndio ya mwisho? Kama kuna mpya ambayo ni nzuri naomba unihabarisheHa ha ha ha ha. Breaking bad ni habari nyingine
Condor ndio habari ya mjini sasa hiviNi nzuri sana. Season 5 ndio ya mwisho? Kama kuna mpya ambayo ni nzuri naomba unihabarishe
Inaelekea unaizungumzia The Americans, kama jibu NDIYO, basi nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!! Ile "chenga" tuliyopigwa kwenye season finale, kwa Stan Beeman kuwaachia Elizabeth na Phillip pamoja na kuwadaka redhanded; ile chenga sio ya average series!unataka technolojia ipi labda...maana kila zama na technolojia yake.... hata zama za 1980s to 1990s kulikuwa na technolojia yake iliyokuwa juu kwa kipindi hicho... na hii series imejikita kwenye espionage and counterintelligency kati ya KGB NA FBI ....... bado sijaona series yenye stories kali kama hii
Designated ni drama kama anguLabda hiyo Designated Survivor waifanyie review fasta sana maana ilivyokuwa inaenda inaenda kama House of Cards AMBAYO NI POLITICAL.... Kwa ilivyoanza wengi waliitajia iwe action,spy,terror thing ...rather imekuja kuwa laiiiiniiii
Mi kuelezea vinanishindaga muda mwingine,ingia tu kwenye mtandao usome storyline akeHii pia inahusu nn mazee