Baada ya JF kutokuwa hewani palianzishwa group ya WhatsApp kwa ajili ya kubadilishana taarifa kuhusu *movies* na *series*. Kiunganishi ni hili; Movies & Series Club kama unapenda kujiunga
Mkuu kama unadownloadia simu na unataka kuhamisha kwa Pc Ni lazima uwe na Window Archiver (winrar) coz hilo file linakua katika mfumo wa .rar ambayo itakuwezesha kuextract hilo file liwe video ya kawaida.
Kwa simu unaweza download app playstore RAR application na ukaextract hiyo. Zip file
Todaytvseries2.com wako njema sana na wanaweka ontime size hua ni mb 185-225 tu per episode.....nawaaminia sana